October 25,watanzania (waliojiandikisha kupiga kura) watajipanga mistari katika sehemu mbalimbali nchini kuchagua Rais na wawakilishi wao Bungeni(wabunge) na wawakilishi wa maeneo yao ya makazi (madiwani).
Chama Cha Mapinduzi(CCM) watamsimamisha Dr.John Pombe Magufuli wakati upinzani umekubali kuwakilishwa na Edward Ngoyai Lowassa kada wa zamani wa CCM ambaye hivi karibuni aliamua kujiunga na upinzani kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA)
Tukielekea huko tungependa kujua,kura yako ya Urais utampa nani? Hii hapa Poll rahisi ambayo inakupa nafasi ya wewe kusikika. Inakuja kwako kwa niaba ya BongoCelebrity na NewDealAfrica kundi la WhatApp linaloundwa na watu mbalimbali ndani na nje ya Tanzania na wenye mitizamo mbalimbali ikiwemo vyama tofauti.
polls
28 comments:
This is a potentially misleading polling technique! What percentage of real Tanzanian voters are tech savvy or have access to computers or suitable mobile devices? Most likely less than 5%. Equally importantly, most of the readers of this blog is a bloc of Tanzanians in the diaspora, who are not going to vote. So, this is a useless exercise!
It sure is.
MTOA HOJA HAPO JUU UNAONESHA KUTOKUJUA KWAKO KUWA HAKUNA POLL ILIYI PERFECT, KWA KIFUPI POLL ZOTE ZA MAGAZETINI ZINASHBIHIANA AMA ZIKO SAWA NA HII, HIZI NI OPINION POLLS, NA HIZO ULIZOTAJA NI BAADHI YA UDHAIFU WA OPINION POLLS ZOTE ZA MAGAZETINI. SASA BASI KURA KAMA HIZI HAZI MISLEAD, KWA WATU WANAOELEWA MAANA YA KURA ZA MAONI ZA MAGAZETINI WANAZISOMA NA KUZIPA KIWANGO KINACHOSTAHIKI. KWA MFANO KWA MATOKEO HAYO, NI KWAMBA, LOWASSA ANAONESHA AMEMZIDI MAGUFULI KATIKA MATOKEO YA KURA ZILIZOSIMAMIWA NA BLOG YA VIJIMAMBO. BAADA YA HAPO TUNAWEKA HIZO WEAKNESSES ZA POLL ILI MSOMAJI AJUE NI MAMBO GANI YA KUZINGATIA ANAPOSOMA POLL HIZI. KWA MANTIKI HIYO HIZI POLL NI HALALI KWA KIWANGO CHAKE NA WEAKNESS ZAKE PERIOD. ACHA KUZIDHARAU KURA ZA MAONI ZA WATANZANIA.
Yaani wewe mkosoaji wa mchangiaji wa kwanza ndio umeniacha hoi na kunichosha kabisa! Hivi wewe unadhani polling/survey/study inafanyika kujifurahisha? Bila shaka hukusoma Statistics hata chembe. Vinginevyo, ungejua kwamba njia ya kupata maoni, ambayo iko biased kupata maoni kutoka sehemu ndogo tu ya population haina uhalali kitakwimu na kwa mtaalamu yeyote wa Statistics hiyo ingekuwa sababu ya msingi kwake kumfanya achague mbinu nyingine dhidi ya hii inayotumika hapa!
Sina jinsi ya kukusaidia zaidi ya kukushauri ujiandikishe kusoma college-level Statistics hata angalau ujifunze mambo ya kuzingatia katika uendeshaji wa surveys au studies zozote.
Heri mimi nilikuwa sijasema, mkuu! Sasa nitasema. Poll hii inakaribiana sana na poll ya wafugaji wa ng'ombe wa kizungu ili kupata maoni ya wafugaji wote wa Tanzania kuhusu sera ya Serikali juu ya ufugaji nchini Tanzania. Kiufundi, poll kama hii inaitwa "a statistically invalid study".
Hii ndio moja ya polls ambazo huwafanya baadhi ya political candidates kukataa matokeo halali ya uchaguzi wakidhani kuwa uchaguzi umehujumiwa, just because a statistically invalid poll kama hii ilimuonesha yeye kuwa front runner!
Sio kila mtu anaweza kuwa pollster. Polling ni kazi ya kisayansi zaidi kuliko unavyofikiria!
WEWE MTOA MADA HAPO JUU BADO UNATIBITISHA UDHAIFU WAKO WA KUKARIRI KUWA STATISTICS UNAKUFANYA KILA UNCHOKIONA KIONEKANE KINAFANANA. NAAMINI WEWE NDIO UNAUDHAIFU ULIOJENGWA NA KUKARIRI ZAIDI KULIKO UELEWA. KUMBUKA ZIPO KURA ZA MAONI AMBAZO NI ZA KUJIFURAHISHA TU, NA KABLA HUJANG'AKA KUJIFURAHISHA NAKO NI SABABU. PILI, CHA MSINGI HAPA NI KUWEKA WAZI KUWA KURA HIZI ZA MAONI ZIMESHIRIKISHA KUNDI GANI, LA WATU WANGAPI, NA KATIKA KUELEZEA MATOKEO UNAWEKA WAZI IDADI YA WASHIRIKI NA KUTOA MAELEZO NI WANGAPI WAMEKUBALI NA WANGAPI WAMEKATAA. MWISHO KABISA WEWE NDIO UNAHITAJI UKAJIFUNZE ZAIDI STATISTICS MAANA MUDA WAKO WA ULIOJIFUNZA UMEPOTEZA KUKARIRI BADALA YA KUELEWA. KWA HIYO HUYU ALIYEANDAA HII POLL ANAHAKI NA INAKUBALIKA KWANI ANACHOONYESHA NI WASOMAJI WAKE WANASEMA NINI JUU YA MAGUFULI NA LOWASSA, SASA WEWE NA BASIC STATISTICS YAKO YA COLLEGE UNAKATAA HUYU JAMAA KUPIMA MAONI YA WATU WAKE AMA NINI? TUACHE KUJIFANYA WASOMI KWA KUKARIRI
I am not a kind of person who would spend time arguing with you about nothing. Simply put, I have got no time to argue with an intellectually-challenged person; people might not know the difference!
Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake, lakini kwa walio wengi hapa mnachangia kwa "biasness" ya hali ya juu....
BADO UNASHINDWA KUTHIBITISHA NI KWANINI HII POLL HAIFAI AU HAIKUBALIKI, MAANA KILICHOTOLEWA HAPA NI NAMBA ZA ASILIMIA, HAKUNA MAELEZO ZAIDI, SASA MTU ANAPOAMUA KUSEMA POLL HAIIFAI SIJUI ANATOA WAPI HIYO CONCLUSION. KWA KIFUPI HII POLL NI HALALI KUTOA PICHA YA WASOMAJI WA BLOGU HII WANAWAZA NINI JUU YA WAGOMBEA WAWILI. TUACHE KUJISIFU KUWA ETI SIO WATU WA KUJADILI NA WATU WENGINE HUKU UNAPOTOSHA UKWELI WA MAMBO. TUACHE KUTUKANA KURA ZA MAONI ILHALI HATUJAULIZA HUYU ALIYEANDAA KURA HIZI ANATAKA KU-INFER NINI. KWA MFANO KAMA MAJIBU NI KUONESHA TU WASOMAJI WA BLOGU HII WANASEMAJE, NA HILO NALO LITAIFANYA HIZI KURA SI SAHIHI? JE WEWE UNAJUA KUNA WASOMAJI WANGAPI WA BLOGU HII, MPAKA KUFIKIA KUSEMA KUWA HIZO RESULT SIO REPRESENTATIVE? JE UNAJUA CONCLUSION AMBAYO AMEITOA MUANDAZI WA KURA HIZI ZA MAONI, MPAKA UKAFIKIA KUKOSOA? NAOMBA TUACHE KUKARIRI HIZI KURA NI HALALI KUTEGEMEANA NA CONCLSUION ZA MUANDAZI WA KURA TUACHE KUTUMIA STATISTSICS KWA USHABIKI MAANDAZI.
Poll ni Poll
Inatengenezwa kulingana na matumizi yaliyo dhamiriwa na aliyeitengeneza.
Huwezi ku "generalize" au kutumia majibu ya poll kwa nia tofauti na iliyokusudiwa. Hapo utakuwa unadanganya .
Lakini bado poll inabakia kusema ukweli au kutoa taarifa ya kulingana kwa kundi lililolengwa na lenye kufanana nalo.
Hivyo basi poll iliyoandaliwa na "NewDealAfrica" mpaka sasa inatafsirika hivi
- KURA YA URAHISI2015; NANI CHAGUO LAO?
- Poll hii imefanya kwa wale walio na uwezo wa kutumia internet (na smart phone)
- Edward N. Lowasa anaongoza kwa asilimia 75%, akifwatiwa na JPM mwenye asilimia 21% na wale amabao hawajaamua ni 4%.
Hii ina maana gani??
- Inonyesha kuwa poll ini representative (wakilishi) kwa watu wenye smart phone au wanaotumia computer kokote pale walipo Tanzania hata kama hawakupiga kura yao hapa directly.
-Kwa kifupi waweza sema kuwa kwa ;
---- "watumia mitandao Tanzania asiliamia 75% mpaka siku ya leo wanamchagua Edward Lowasa kuwa kuwa Rais 2015.
Huwezi kutumia takwimu hizi kuwakilisha watanzania wengine.
Itakuwa sio sahihi (extrapolation of findings)
-Pol hii inabaki kuwa sahihi kwa kundi la watu hawa tu.
MTOA MADA ANONYOMOUS August 11, 2015 at 8:26 AM, UMEFANYA CONCLUSION SAFI SANA, SINA HAJA YA KUANDIKA TENA. KUNA WAJUMBE KADHAA HUMU WALITAKA KU-DEMONIZE HII POLL BILA SABABU YA MSINGI.
Poll hii iko sahihi kwa lengo husika na kwa walengwa husika,achilia mbali mapenzi binafsi kwa washindanishwaji hao wawili,alama zinazoonekana kwa kila mmoja ni maoni toka kwa wapiga kura wanaotumia mtandao na walioweza kuaccess hii poll na kuvote,tathimi itakayopatikana ni sahihi ktk perspective hii, haijarishi umesoma mpaka level ipi au chuo kipi na nchi ipi,poll hii ni sahihi na matokeo ni halali kwa watu waliolengwa
Poll yoyote ile au takwimu yoyote ile unapoianalyse,majibu yake utegemea na namna takwimu yenyewe inavyosema hata kama ni ya kubuni au ukweli,binafsi poll hii ni sahihi kwa lengo sahihi na walengwa sahihi,achilia mbali ushabiki na wala hakuna sababu ya kusema nimesoma mpaka level flani au chuo flan au nchi flani,kikubwa ni upeo wako wa kuianalyse i poll,aliyeitengeneza alikuwa na lengo lako hivyo majibu yanayopatikana hayalengi kumpendelea mtu bali kuonesha ukweli na uhalisia wa namba ambavyo watu wanaotumia mtandao bila kujari wako wapi wangependa nani ashinde
Mimi naona hii poll ya kweli kabisaa. Hata baba yangu mzee aliyokuwa dam dam na ccm safari hii kasema hapigii ccm.ndugu zangu walioko Tanzania kila mmoja anasema at atampigia Lowasa.sasa inawezekana CCM wako kwenye. Denial lakini ukweli watu wamechoka kudanganywa na ccm
Kwa ujumla mmehitimisha ipasavyo na ndio lengo hasa si vinginevyo.big up
Aliye itayarisha hii poll ni ccm au Ukawa tunataka tujue kabla hatujasema nani chaguo letu
kwendre kule sisi ndio watanzania , akili zetu zinatutosha hatuwzi Mpa Nchi Lowasaaa , yaaani ili ??????
Watu wote wanaujitambua na watakao mchagua Magufuli sio watu wa kuzunguka kwenye mablog bali ni wenye vitambulisho vyao vya kura mifukoni, wengi wao ni watu wanaoelewa demokrasia na wanatambua wapi nchi inatoka na inaenda. Wao hawana kelele na wala hutawaona wakijibishana facebook, instagram au kwenye mitandao. Hizi poll za kwenye mablog ni za kina sie tuliokua na muda kuzunguka kwenye mablog na social media. Tukutane October wadau
WE MTOA MADA WA KWANZA KABISA SIJUI KAMA UNALEWA NENO POLL.KWA FAIDA YAKO NA WASOMAJI WENGINE WENYE KUFIKILI KAMA WEWE BY DEFINITION:
POLL PUBLIC -OPINION SURVEY IN WHICH EITHER ALL MEMBERS OF A PARTICULAR GROUP, OR RANDOMLY CHOOSEN RESPONDENTS FROM A SECTOR OF POPULATION.
NARUDI KWENYE MADA, KWAIYO HUU NI UTAFITI AU SURVERY UNAO AKISIA MATOKEO HALISIA,NI SAWA NA TAFITI NYINGINE ZA KISAYANSI,KWAIYO HATA KAMA JAMII ILIYOPIGA KURA HIZI ZA MAONI IKIWA NI YA DIASPORA,WAPIGA BOSI AU WASOMAJI WA VIJIMAMBO WENYE SMARTPHONE BADO POLL HII INAU HARARI KUTOKANA NA TAFASIRI YAKE.
MDAU-SWISS.
What a daydream! Jipeni matumaini. Fisadi alisema, "Huwezi kuzuia mafuriko kwa mkono", lakini sote tuliona mafuriko yake yalizuiliwa kwa kidole hata sio kwa mkono mzima. Tunzeni hayo matokeo yenu ya "poll ya kweli kabisaa" halafu mtupe mrejesho hapo November 2015. Fanatics are always irrational!
The END of Socialism!
Watanzania zaidi ya asi ilimia 99 wana simu. Na zaidi ya asilimia 70 wana smart phpnes, we vipi
Nonsensical!
ANONYMOUS August 19, 2015 at 3:48 PM UNATUMIA PERSONAL SPECIFICATIONS ZAKO KUWA-JUDGE WATU KUWA NI FANATICS ILI TU UTHIBITISHE KUTOKUKUBALIANA KWAKO NA HIZI KURA ZA MAONI. KWA KIFUPI HAKUNA MTU YEYOTE ALIYESEMA KUWA MATOKEO HAYA YANATOA PICHA YA MOJA KWA MOJA YA MATOKEO YA KURA HAPO OCTOBER 25TH. KINACHOJADILIWA HAPA NI UHALALI WA KURA HIZI ZA MAONI, VINGINEVYO KILA UNACHOCHONGA HUMU KINADHIHIRISHA UELEWA FINYU WA MAMBO.
Mabadiliko njee ya ccm yana wezekana ccm out...
CCM kila wa uchaguzi hamushi visa
Mlianza Tangu 1995 kupigana vikumbo wenyewe
Hivi mlisikia wapinzani wanagombea urais kwa lundo la watu tangu waziri mkuu ha mkulima
Asante Mzee ngombale ulisema kuna jambo
Tumeliona lakini mwaka tutajua moja
Tumechoka na kauli ya utulivu na amani
Kwani sisi tunakula amani na utulivu
Sisi hatuna shida hizo
Tunataka maendeleo watanzania tuwe na maisha bora
Na walimu mmezoea kuwatumia kwenye chaguzi
Mwaka kama Mafao Yao na maslahi na marupurupu hajalipwa kabla ya uchaguzi
Mmekwenda na CCM
Walivyonavyo mnawapa zawadi hata wasizozihataji
Mlisikia rais kashindwa kununua trekta
Tunafanya kazi kwenye mazingira magumu Sana
You always write about nothing. What a wastage of your time!
Acheni kubishana waheshimiwa,this time arround Gambas out, maana hakuna namna nyingine sasa
Post a Comment