ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, August 9, 2015

MAGUFULI AWATAKA WANA CCM KUSHIKAMANA NA KUWA WAMOJA HASA KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI.

Dkt John Pombe Magufuli kwa pamoja akicheza wimbo wa Adinselema uliokuwa ukiimbwa na wanachama hao mara baada ya kumpokea na kuamsha shamra shamra na shangwe za hapa na pale.Pichani kulia ni Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mama Salma Kikwete akishuhudia.
Mgombea Uraisi wa chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli akipokelewa kwa shangwe na shamra shamra kutoka kwa wanachama na wafuasi wa chama cha CCM waliokuwa wamekusanyika nje ya ofisi za CCM mkoa wa Lindi, alipofika kusaini vitabu,kuwashukuru na kujitamulisha kwao.
Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mama Salma Kikwete akizungumza jambo na Wanachama wa chama hicho nje ya Ofisi za CCM mkoa wa Lindi
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia baadhi ya wanachama wa CCM na wafuasi wa chama hicho waliofika kumlaki alipowasili kwenye ofisi hizo kwa ajili ya kusaini vitabu pamoja na kuwashukuru na kujitambulisha kwa wanachama hao mapema jana Agosti 8 2015.Dkt Magufuli amewataka wananchama hao kushikamanana kuwa wamoja katika kipindi hiki muhimu cha uchaguzi, ambacho anaamini kitaipatia ushindi chama CCM.
Dkt John Pombe Magufuli akitia sahihi vitabu ndani ya ofisi ya CCM mkoa wa Lindi, pichani kati ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa, Ndugu Ali Mtopa pamoja na
Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mama Salma Kikwete.
Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM,Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Lindi, Ndugu Ali Mtopa, alipowasili kumkaribisha Mgombea Mteule wa chama cha Mapinduzi, Dkt John Magufuli aliyewasili kwenye ofisi hizo kwa ajili ya kusaini vitabu pamoja na kuwashukuru na kujitambulisha kwa wanachama na wafuasi wa chama cha CCM
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha CCM, Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi, Ndugu Ali Mtopa alipowasili  kwenye ofisi hizo kwa ajili ya kusaini vitabu pamoja na kuwashukuru na kujitambulisha kwa wanachama na wafuasi wa chama cha CCM mkoani humo mapema jana Agosti 8 2015
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha CCM,Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu,Mama Salma Kikwete.Dkt Magufuli aliwasili kwenye ofisi hizo kwa ajili ya kusaini vitabu pamoja na kuwashukuru na kujitambulisha kwa wanachama na wafuasi wa chama cha CCM mkoani humo mapema jana Agosti 8 2015
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha CCM,Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya wanachama wa chama hicho waliofika kumlaki alipowasili kwenye ofisi hizo kwa ajili ya kusaini vitabu pamoja na kuwashukuru na kujitambulisha kwa wanachama na wafuasi wa chama cha CCM mkoani humo mapema jana Agosti 8 2015
"Karibu Bwana Magufuli..karibu sana Lindi" mmoja wa Wanachama akimkaribisha Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli mara baaada ya kuwasili katika ofisi za CCM mkoa wa Lindi  ambapo alisaini vitabu,aliwashukuru wanachama na wafuasi wa chama hicho pamoja na kujitambulisha kwao.
Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na mmoja wa watoto waliofika kumlaki mgombea huyo.
"Karibu Bwana Magufuli..karibu sana Lindi" mmoja wa Wanachama akimkaribisha Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli mara baaada ya kuwasili katika ofisi za CCM mkoa wa Lindi  ambapo alisaini vitabu,aliwashukuru wanachama na wafuasi wa chama hicho pamoja na kujitambulisha kwao. 
Dkt John Magufuli akisalimiana na aliyewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Mtama,kabla ya Mh.Bernad Membe,Ndugu Kassim Abdallah .

PICHA NA MICHUZI JR-LINDI

4 comments:

Anonymous said...

Tuambiane. CCM imeshaanza kampani tayari? Je hii ni ziara ya Kiserikali au ya kichama?

Anonymous said...

Sherehe za nane nane Lindi acha kelele .magufuli hana haja ya kupiga kampeni mbele ya fisadi atashinda tu .

Anonymous said...

Yaani hapa hizi ni kampeni zilishaanza kwa CCm.haaahh.

Anonymous said...

Kampani ndio nini? Hizi akili za kujaziwax2 na akina Tundu Lisu..tabu kweli.