Mkurugenzi wa Utafiti na matumizi ya Hali ya hewa kutoka Mamlaka ya hali ya Hewa Nchini Dkt, Ladislaus Chang'a, akifafanua jambo kwa wanafunzi wa shule maalumu ya Vipaji ya wasichana ya Msalato kuhusu kuhusu mabadiliko ya tabia Nchi.(Picha na John Banda wa Pamoja Blog)
Wanafunzi wa Shule maalumu ya vipaji ya wasichana ya Msalato mjini Dodoma wakifuatilia jambo kwa makini wakati Mkurugenzi wa Utafiti na matumizi ya hali ya hewa Nchini Dkt, Ladislaus Chang'a alipokuwa akitoa mada kuhusu uhalibifu wa mazingira ili kunusuru Mabadiliko ya tabia nchi.
Mkurugenzi huyo pamoja na Meneja wa TMA kanda ya kati wakitoa zawadi mbalimbali kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika kutoa maoni na kuuliza maswali kuhusu mada hiyo ya uhalibifu wa mazingira ambapo Winnie Mwampamba wa kidato cha nne aliibuka mshindi namba moja na kujipatia zawadi za shule na fedha taslimu 94,000
No comments:
Post a Comment