Advertisements

Sunday, August 16, 2015

Siku ya mwisho ya Mkutano wa Injili leo Washington DC

Kanisa la The Way of the Cross Gospel Ministries linapenda kuwaalika katika siku tatu za mkutano wa uamsho unaofanyika hapa Washington DC
Ni kuanzia saa saba kamili (1:00pm ET) Kutakuwa na uimbaji na mahubiri ya kumalizia mfululizo wa WAZO KUU LA MKUTANO
Anwani ni ni
405 Riggs Rd NE,
WASHINGTON DC 20011
KARIBU SANA

Mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgaya ama Masanja Mkandamizaji alipohudumu kwa waumini wa jiji la Washington DC na vitongoji vyake siku ya Jumapili 07/07/2013 katika kanisa la THE WAY OF THE CROSS GOSPEL MINISTRIES

No comments: