Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu, akiwa ameongozana na mkuu wa wilaya ya Mlele mkoani Katavi, Col mstaafu Issa Njiku, kutoka kulia ni kamanda wa Polisi mkoa wa Rukwa, SACP Jacob Mwaruanda na kamanda wa Polisi mkoa wa Katavi SACP Dhahir Kidavashari, akiwa mkoani humo, jana katika ziara ya kikazi
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Ernest Mangu, (katikati) akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa katavi,(hawapo pichani) kutoka kushoto ni Mkuu wa mkoa wa katavi, Dkt Ibrahimu Msengi, na kamanda wa Polisi mkoani humo, kamishna Msaidizi Muandamizi wa Polisi (SACP) Dhahir Kidavashari, akiwa mkoani humo katika ziara ya kikazi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Ernest Mangu, akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa Katavi, jana akiwa mkoani humo katika ziara ya kikazi. Picha na Demetrius Njimbwi – Jeshi la Polisi
No comments:
Post a Comment