ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 13, 2015

MWENYEKITI WA CCM SHINYANGA KHAMIS MGEJA AHAMIA CHADEMA

CCM sio baba yangu si mama yangu, Watanzania wanahitaji mabadiliko wasipo yapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM ndiyo maneno aliyoyatumia Khamis Mgeja alipokua kizungumuza na waandishi wa habari jijini Dar hivi punde alipotangaza uamuzi wake wa kukihama chama cha CCM na kujiunga na CHADEMA.

Khamis Mgeja alikua mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga leo ametangaza rasmi kujiunga na CHADEMA jijini Dar.

7 comments:

Anonymous said...

Hahaha!hahaha!good news ,wajanja walishasoma alama za nyakati,na bado lazima mnyooke safari hii.

Anonymous said...

Haondoki pekee yake tunasuburi mchaguwe wabunge na madiwani tuanze kuwasambatisha
Tangu kamati kuu yenu kuhamia ukawa

Unknown said...

Huu ni mwanzo mzuri maana mpaka October Ikulu itahamia UKAWA

Anonymous said...

He is irrelevant to CCM. I don't see the importance of media coverage of his exit. Give us a break you folks, kila trash mnaiweka kwenye mitandao? Huyu bwana siwezi hata kumkaribisha kwenye birthday party yangu, let alone kwenye political party? He is a desperate man, in search of attention he couldn't get at CCM! Watu wa Shinyanga wanamjua sana.

Anonymous said...

kibaraka wa lowasa, cry baby. baada ya oktoba wote mtalia sana. ndio matatizo ya kuhongwa hela sasa mnalazimishwa kumfuata!!! man up mzee acha kujidhalilisha na vihela vya ufisadi. baada ya oktoba itabidi uhamie monduli ukalime. shame on you

Anonymous said...

Mbona bado,tunamsubili magufuli na nape wajiunge UKAWA.

Anonymous said...

Mwamba naona unatoka povu vipi ccm ikiondoka madarakani baba kibarua chake kitaota nyasi nini hahaha.