ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, August 8, 2015

MWILI WA EDDIE MALCOLM UMEAGWA TAYARI HILI KUSAFIRISHWA NYUMBANI ZANZIBAR TANZANIA


Imamu wa wa msikiti wa Masjid Ihsan Brooklyn, Ny akiongoza sala ya kuuombea mwili wa Eddie pamoja na Watanzania waliojitokeza msikitini hapo.

Ndugu wa marehemu Eddie kutoka Canada, California na Seattle wakiwa mbele ya jeneza kuaga mwili wa ndugu yao.
Bwana Hajji Khamis Mwenyekiti wa New York Tanzania Community akiongea mbele ya Watanzania msikitini hapo, Bwana Hajji alikuwa msitari wa mbele kuakikisha kila kitu kinafanikiwa.

Mhe. Ramadhani Mwinyi Balozi Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja wa Mataifa  akiongea machache kwa niaba ya ubalozi.
Mwili wa Marehemu Eddie ukitolewa msikitini tayari kuelekea uwanja wa ndege kwa safari ya kwenda Zanzibar kwa mazishi. Kwa picha zaidi nenda soma zaidi.

No comments: