Advertisements

Saturday, August 15, 2015

Nape: Makada wanaohama hawatunyimi usingizi

9 comments:

Anonymous said...

HAMNA LOLOTE NYIE CCM 40 YENU IMESHAFIKA

Anonymous said...

Piga domo Nape, piga tarumbeta, piga mayowe haisaidii tumewachoka tena tumewachoka sana wananchi tumeamua kufa au kupona lazima tulete mabadiliko mwaka huuuuuuuuuuuuuuuu, tutaona km hii nchi yenu au wetu sisi wananchi

Anonymous said...

NAPE wewe ndio unakididimiza chama chetu kwa kauli zako zisizokuwa na msimamo!!

Anonymous said...

Ilani ya CCM maana yake ni kwamba ukiwa kiongozi ulinde maslahi ya viongozi na anayekosea au kuiba alindwe aendelee kuhujumu hakuna kufukuzana. Ndio maana yake hakuna jipya na ndilo limewatafuna waTanzania.!!

Anonymous said...

REALLY? I DOUBT KAMA KIONGOZI BORA UNAWEZA KUSEMA HIVYO UNLESS UNATANGULIZA MASLAHI YAKO MBELE NA SIYO YA CHAMA.

Anonymous said...

Ni kweli Nape unachosema sababu umefika hapo ulipo kwa sababu baba yako aliwai kuwa kada wa CCM. Mimi ambaye si ndoto ya kufika hapo ulipofikia tunajitoa CCM taratibu kwenye tawi nililojiunga huko dispora.

Anonymous said...

Na baaado subiri kampeni zinaanza oil zitakuwa pipa na pipa. Wee endelea kusibiria ku-nock engine!!?

Anonymous said...

Tibaijuka na ex mwanasheria mkuu majizi majizi
Mmeyapitsha kugombea ubunge
It's over
It's over it's it's it's it's over Tumechoka

Anonymous said...

Boko boko nape
Mbona hata mke wala mchumba huna kulikoni