Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Paul Makonda alipowasili katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambako Wasani wa fani mbalimbali waliandaa hafla rasmi ya kumuaga usiku wa Alhamisi Agosti 6, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Mhe. John Pombe Magufuli alipowasili katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambako Wasani wa fani mbalimbali waliandaa hafla rasmi ya kumuaga usiku wa Alhamisi Agosti 6, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mhe January Makamba alipowasili katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambako Wasani wa fani mbalimbali waliandaa hafla rasmi ya kumuaga usiku wa Alhamisi Agosti 6, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Ruge Mutahaba, mratibu mkuu wa hafla alipowasili katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambako Wasani wa fani mbalimbali waliandaa hafla rasmi ya kumuaga usiku wa Alhamisi Agosti 6, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na wasanii alipowasili katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambako Wasani wa fani mbalimbali waliandaa hafla rasmi ya kumuaga usiku wa Alhamisi Agosti 6, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na msanii na kiongozi wa bendi Mapacha watatu Jose Mara alipowasili katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambako Wasani wa fani mbalimbali waliandaa hafla rasmi ya kumuaga usiku wa Alhamisi Agosti 6, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mona Lisa mmoja wa wasanii walioratibu hafla alipowasili katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambako Wasani wa fani mbalimbali waliandaa hafla rasmi ya kumuaga usiku wa Alhamisi Agosti 6, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na msanii JB alipowasili katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambako Wasani wa fani mbalimbali waliandaa hafla rasmi ya kumuaga usiku wa Alhamisi Agosti 6, 2015. Kushoto kwa JB ni Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Mhe. John Pombe Magufuli
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipewa maelezo ya hafla itavyokuwa baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambako Wasani wa fani mbalimbali waliandaa hafla rasmi ya kumuaga usiku wa Alhamisi Agosti 6, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na rasmi na Wasanii wa fani mbalimbali katika hafla rasmi ya kumuaga usiku wa Alhamisi Agosti 6, 2015
Wasanii wa fani mbalimbali wakimkaribisha JK katika hafla rasmi ya kumuaga usiku wa Alhamisi Agosti 6, 2015

JK akipata picha na Mgombea Ubunge Moshi Mjini Davies Mosha na mwendesha talk show Mboni Mashimba kwenye hafla ya Wasanii wa fani mbalimbali ya kumuaga usiku wa Alhamisi Agosti 6, 2015
JK akisalimiana na msani Cassim Mganga
Ommy Dimples akipata selfie na JK
Wasanii wakipata selfie na JK
Kila msanii aliomba selfie na JK
selfie
JK akipata selfie toka kwa
Meza ya Mzee Yusuf na mkewe na wadau wakubwa wa muziki nchini
Meza ya Mzee Walter Bgoya ya familia yake
Meza ya Jose Mara na Kelvin Twissa
Selfie zikiendelea
JK na wakongwe Nyoshi el Sadat na Komando Hamza Kalala
Kila kona selfie
JK akiendelea kusalimiana na wadau wa sanaa
JK akipeana mikono na Joh Makini
Selfie zimenoga meza ya kina Adam Mchomvu na Joh Makini
Adam Mchomvu akitoa special thanks kwa Prezidaa
JK akimsalimia Nikki wa Pili
Meza ya Fina Mango
Jose Mara akinogesha shughuli. Huyu jamaa noma
Diamond akitoa shukrani kwa niaba ya wasanii wenzie
Jose Mara jukwaani katika Big Screen
JK na King Majuto
JK akiongea na King Majuto na Mzee Shilo
JK akiwa na Bi Shakila Saidi
Steve Nyerere akiwa kavamia meza kuu
Steve Nyerere akiosha nyota
Diamond akisalimia meza Kuu
Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na mwimbaji nyota Patricia Hilary
Mshindi wa Big Brother Africa Idriss Sultan akisalimia meza kuu
Mshindi wa Big Brother Africa Idriss Sultan akisalimiana na Dkt Magufuli
Mshindi wa Big Brother Africa Idriss Sultan akificha uso
Mwanamuziki nyota Ali Kiba akitoa shukrani zake kwa JK
Vanessa Mdee akiwa jukwaani
Meza Kuu
Dkt Magufuli na Nape Nnauye wakifanya mambo jukwaani
JK akifurahi na wasanii
JK akipongezwa na King Majuto kwa kusakata rhumba
JK akipompongeza Dkt Magufuli kwa kupiga tumba kwa ustadi mkubwa
JK akisalimiana na mwigizaji nguli Ray Kigosi
Dkt Magufuli akisalimiana na Bashe
JK na msanii wa Hip Hop mkongwe Fid Q
JK akicheza na Vanessa Mdee
Wasanii wakongwe wakiserebuka
JK akifurahi na wasanii
Furaha na vicheko vilitawala
JK akisalimiana na Bushoke
Dkt Magufuli akisalimiana na Bushoke
MC Richie Mtambalike alinogesha vilivyo hafla hii
Meza kuu wakishangilia baada ya JK kutangazwa Shujaa wa wasanii
Nikki wa pili akionesha zawadi ya picha waliyoandaa wasanii
Nikki wa pili akionesha meza kuu zawadi ya picha waliyoandaa wasanii
Nikki wa pili akimkabidhi JK zawadi ya picha waliyoandaa wasanii
Nikki wa pili akimkabidhi JK zawadi ya picha waliyoandaa wasanii huku Fid Q akimuonesha majina ya wasanii wote yaliyotengeneza mosaic ya picha hiyo
Nikki wa pili akimkabidhi JK zawadi ya picha waliyoandaa wasanii
Dkt Magufuli akimpongeza Nikki wa Pili
JK akiongea na wasanii
Wasanii wakimsikiliza JK
Wasanii wakimsikiliza JK
Wasanii na wadau wakimsikiliza JK
Wasanii wakimsikiliza JK
Wasanii wakimsikiliza JK
Wasanii wakimpongeza JK
Wasanii wakimpongeza JK
Wasanii wakimpongeza JK
Wasanii wakimpongeza JK
JK akiendelea kuongea
Wasanii wakimpongeza JK
No comments:
Post a Comment