Umati wa Wakazi wa mji wa Tengeru, ukiwa umefurika kwa wingi barabarani kumlaki Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Edward Lowassa alipopita eneo hilo, wakati akielekea Jijini Arusha kwenye Mkutano wa hadhara wa kutambulishwa kwa Mgombea huyo kwa wananchi wa Arusha,uliofanyika kwenye Uwanja wa Kamandolu, leo Agosti 15, 2015.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Edward Lowassa na Mgombea Mwenza wake, Dkt. Juma Haji Duni wakiwa wamesimama pamoja na wananchi wa Jiji la Arusha walifurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Kamandolu, leo Agosti 15, 2015, wakati wa kuimba wimbo wa Taifa.
Muasisi Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mzee Edwin Mtei akizungumza na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama hicho, Mh. Edward Lowassa wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Kamandolu, leo Agosti 15, 2015, kulikofanyika Mkutano wa kumtambulisha.
Muasisi Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mzee Edwin Mtei akizungumza na maelfu ya wananchi wa Jiji la Arusha, wakati akimtambulisha Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama hicho, Mh. Edward Lowassa, wakati wa Mkutano wa kutafuta udhamini wa Tume ya Uchaguzi na kutambulishwa kwa Mgombea huyo na Mwenza wake, Dkt. Juma Haji Duni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Kimandolu, leo Agosti 15, 2015.
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mh. Godbless Lema akihutubia wananchi kwenye Mkutano wa hadhara wa kutafuta wadhamini wa Tume ya Uchaguzi wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,pamoja na kutambulishwa kwa wananchi, uliofanyika Agosti 15, 2015, kwenye Uwanja wa Kimandolu, Jijini Arusha.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Edward Lowassa na Mkewe, Mama Regina Lowassa wakifanyia Ibada ya kimila na Wazee (Malaigwanani) ya Kimasai, wakati wa Mkutano wa kutafuta wadhamini wa Tume ya Uchaguzi pamoja na kutambulishwa kwa wananchi, uliofanyika Agosti 15, 2015, kwenye Uwanja wa Kimandolu, Jijini Arusha.
Mke wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Edward Lowassa, Mama Regina Lowassa akiwasalimia wananchi wa jiji la Arusha.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Edward Lowassa na Mkewe, Mama Regina Lowassa wakifanyia Ibada ya kimila na Wazee (Malaigwanani) ya Kimasai, wakati wa Mkutano wa kutafuta wadhamini wa Tume ya Uchaguzi pamoja na kutambulishwa kwa wananchi, uliofanyika Agosti 15, 2015, kwenye Uwanja wa Kimandolu, Jijini Arusha.
Mke wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Edward Lowassa, Mama Regina Lowassa akiwasalimia wananchi wa jiji la Arusha.
6 comments:
Kazi kweli kweli mwaka huu sijui waibe vipi hata washinde ni kama mussa kwa fir auni kamlea mwengine kisha kampindua chezea mungu we we atu baba wa taifa alimkataa natamani angekua hai akayaona
CCM naona iko haja ya kuroga, sera peke yake naona hazitosaidia kwa sasa. TANU ilikufa au kuuliwa na sasa zamu ya CCM haya ni mambo ya kawaida kwenye siasa sio ajabu, ccm walidhani kuwa na dola ndio ngao walisahahu wananchi ndio mkuki ukikosea utaumia lakini pia haya ndio maendeleo haturudi nyuma tunaenda mbele siku zote.
Hata Mrema vwalijzana hivyo hivyo na aliangukia Pua CCM banaaa kama wanadawa vile ukienda kuoiga kura tu basi akili inavurugika unajikuta una ponyeza Magufuli,,,,, werawera ukawaaaaa mtajazana sana kama nyuki akitengeneza Asali lakini Malikia mmoja tu.
Nasikia malimau na ndimu zimekuwa adimu,wana ccm wanatumia sana bidhaa hizo kupunguza kichefu chefu.
Watakula vyote
Na kutapika Na kusema vyote
Lakini Lowassa ndo habari Na chaguo la watanzania
Hatutaki magufuli wala mafunguo
CCM waliharibu zaidi bunge lililopita yaani walionyesha kabisa kutojali watanzania.
Post a Comment