Baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Arusha wakimkaribisha kwa shangwe Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro ttayari kufungua Mkutano wa nne wa mwaka wa wadau wa sekta ya barabara chini ya Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa unaofanyka katika hoteli ya Ngurdoto Mkoani Arusha.
.Rais Kikwete akisalimiana na baadhi ya wananchi alipowasili kata ya Ngurdoto Wilayani Arumeru,Mkoani Arusha leo(picha na Freddy Maro)
2 comments:
Asante. Ila hii isiwe kampeni fungua tuachie tufanye kazi na tutabadili muundo wa barabara mbili kuwa sita.
Mheshimiwa Rais, ni jambo la kusikitisha sana katika ufunguzi wa kampeni katika chama chetu tuliposikia kauli nyingi za viongozi wengi na hata wastaafu kubeza, kutukana, kutoa lugha za kejeli na hata wewe mwenyewe ulipodau kuwa wako wanaotafuta Urais ni matajairi hivyo hatukuw ana muda wa kuja kuuliza utajiri au kohoji. Hivi mheshimiwa hujakaa na kutafakari utajiri ulio nao wewe ssa hivi unapoliaga taifa kama rais na pia mwanao RW 1 katika umri mdogo kiasi hiki ni tajiri wa kupindkia kwa umri wake! Hili huoni kuwa linawatatanisha sana waTanzania na hasa katika kipindi hiki kigumu wananchi wananunua Sukari kilo moja tSH 2000 au zaidi? Hebu tuacheni siasa za ukuwaadi kwani zinakera waTanzania na kukiua chama chetu kinachoendelea kufifia siku hadi siku na ahadi za uongo. Binafsi sidhani kama mabadiliko yanaweza kupatikana ndani ya CCM na hata Mgombea wake kwani wote ni pandikizi lako..Asante.
Post a Comment