ANGALIA LIVE NEWS

Friday, August 14, 2015

WANADIASPORA WALA DINNER NA RAIS JAKAYA KIKWETE


 WanaDiaspora wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Rais Jakaya Kikwete wakati wa chakula jioni kilichofanyika jioni ya Aug 14, 2015 katika hotel ya Serena iliyopo jijini Dar kwenye kongamano la Diaspora lilifanyika kwenye hotel hiyo na lilifunguliwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe.
 WanaDisapora wakipata picha ya kumbukumbu kwenye dinner hiyo ambayo Mhe. Rais Jakay Kikwete alikua mgeni rasmi.
 Mhe. Rais Jakaya Kikwete akiwahutubia wanaDiaspora.

6 comments:

Anonymous said...

Idi kanenepa jamani.

Anonymous said...

Who really cares?,mwache anenepe si mwili wake,tupe habari za UKAWA ndio habari ya sasa.

Anonymous said...

ukawa ndio nini??

Anonymous said...

Kinachotakiwa sio dinner. Kinachotakiwa Ni uraia Wa nchi mbili.Msidanganywe Kama watoto.Huyo Raise anamaliza muda wake kwa kuwabania Uraia Wa nchi mbili.Hiyo tote Ni kwa sababu ya ubinafsi uliopitiliza Wa Serikali ya CCM.MBONA wenzetu majirani wote wamepitisha hiyo Dual citizenship?, Tuna tatizo gani?.

Anonymous said...

Anaogopa, watu watawaanyoosha na sera zao. Siku itafika tuu, lazima wars kula kona tu!!!!

Anonymous said...

Ndi ninyi haswa mnataka yale muhimu tunayoyaomba yasipatiwe ufumbuzi. Huyu Rais anamaliza muda wake lakini ukweli mngempa kama alitaka kuwapeni dual citizenship alikuwa na uwezo lakini katia pamba masikioni!! Hebu tuache kujipelekeza na yuwe serious.