Msafara wa Mhe.Lowassa wazuiliwa na wananchi mosh wakililia kumuona maeneo ya Boma akitokea KIA kuelekea msibani Mwanga..

Polisi wa Mwanga wamezuia msafara wa mhe. Lowassa kijiji cha Maroro wilayani Mwanga sasa hivi akiwa ameongozana mhe.Mbatia, mhe Ndesamburo na mhe. Augustino mrema ukielekea msibani kwa madai kuwa wanaosindikiza msibani ni wengi sana.......KWA HABARI Zaidi, Soma =>.www.africanmishe.blogspot.com



10 comments:
Makubwa mwaka huu
Sijaona watu kukataliwa kwenda msibani kwasababu ni wengi. Hivi nani huwa anafanya mà amuzi kama haya. Mwenyezi Mungu atupe busara na hekima kuwatoa hawa watawala wote wanaonyanyasa wananchi na haki zetu.
Kweli Polisi wa Tanzania hawana lakufanya badala ya kuhangaika na majambazi wanaangaika na waombolezaji, ilibidi mzuie yale meno ya tembo yaliyokamatwa uswis kabla hayajatoka nchini na sio wanaoenda msibani
nyie watoa comment hapo juu vilaza kweli!!! toka lini ukaenda katika msiba na msafara wa kichama na uniform na bendera ya chama chenu. kabla hujaanza kutoa maoni fanya uchambuzi kwanza kwa nini walizuiliwa kwenda. maana wanapeleka ushabiki wa kichama katika msiba wa mzee kisumo, mamburuwa nyie inaonekana bado mko obsessed na lowasa. subiri oktoba 25 unywe sumu ya dipu.
Ethical prcatice au maadiili: Mtu hawezi kwenda kwenye sherehe ya harusi bila kukaribishwa; mtu hawezi kwenda kwenye msiba bila kukaribhwa na wahusika. Kwa upande wa viongozi wa uma, serikali ya ndani inahakikisha usalama wa raia nchini. Polisi na wikozi vya inteligeny wamefanya kazi nzuri kuhakikisha usalama wa watu walioshiri kwenye msiba wa kinongozi wa uma. CCM, Chadema, CUF na wengine wangepata buti kama washingefuata sheria.
Absolutely nonsense! Hao ndio UKAWA wanaodai wako tayari kutawala nchi, lakini hawana hata uwezo wa kutofautisha msiba na shughuli za kisiasa.
Tanzania Watu wanaalikwa makubwa haya
Tanzania tunajuwa only harusi ndo unaalikwa
Mdau wa nne anaonekana anafikira nzuri sana kama za watu wa mapangoni
Mbona ccm mazishi kibao wamekwenda na nguo za kijani hacha hizo maxishi ya kanumba ccm na watu wote Dar walijaa na bsrabars kufungwa na Raisi mawaziri makatibu means office za nchi zilifungwa
CCM watanyooka tu come Oct 2015!!
Post a Comment