Advertisements

Tuesday, September 1, 2015

ANNUAL FUNDRAISING SEPT 12 AT TANZANIA EMBASSY


2 comments:

Anonymous said...

Funds zinazoenda kwenye specific locales na siyo kwa mikoa yote zifanyike kwenye manyumba au private halls/churches/mosques..etc. Ni vyema kama Ubalozi unatumika kwa forums na activities zinazonufaisha Tanzania as a whole. Leo fund-raising for Kagera, next week for Katavi(maybe?), next month for Arusha, then Mbeya, and on and on? Kuna better ways za kumeneji Time and Resources za ubalozi. Haya ni maoni yangu mimi mdau, who cares about accountability. Asanteni.

Anonymous said...

Nafikiri nawe ungejitokeza ku- address matatizo ya jamii hapa na Nyumbani na kuifanya fund raising itakayokwenda Tanzania nzima ingetufunza zaidi. Sababu sijui kama unaelewa zoezi LA organization kama hii ni muhimu kuwa na focus group ambayo itabenefit na tayari kuna wa husika wa kuwakilisha 100% implementation. Sijui unamaanisha pesa zisambazwe tu Tanzania nzima bila hiyo accountability unayoizungumzia ili uone haki imetendeka.
Asante sana