Ni vyema kupokea hicho kidogo walau kitawanufaisha. Ninsawa na Bulembo manenonanayotamka kwenye mikutano kwamba Ikulu ninya CCM milele hayana msingi na mh. JPM ni vyema usimhusishe kwenye mikutano yako anatuharibia kampeni kama wengine walovyoluwa na ukaamua kuiwaacha! Vyema uzungumze mwenyewe kwani wengi wanaangamiza chama mchana kweupee.
HAPA KUNA MAMBO MATATU YAMEWATOKEA MANAHODHA HAWA WA YANGA CANAVARO NA HUYU WA SIMBA MGOSI.LA KWANZA NI TAMAA YA FEDHA BILA KUJALI MATOKEO YA BAADAYE [CONSEQUENCES] WAMEHONGWA PESA NYINGI ILI KUUDHALILISHA UTU WAO,PILI NI ELIMU NDOGO KWA KUTOFAHAMU KWAMBA ZILE JEZI NI ZA MFADHILI NA ZINA MIIKO YAKE KIMKATABA.HAWA HAWANA UELEWA MPANA ELIMU YAO NI NDOGO, FINYU NA TATU USHAMBA.HAWA NI WASHAMBA ASILI NA KAMWE HAWATASTAARABIKA.LAKINI PIA TUKIRUDI KWA CCM WAMEFANYA UHUNI USIO NA MAANA WALA MASHIKO.KWA KUTUMIA RUSHWA YA WAZI KWA PESA HIZI ZA KAMPENI AMBAZO SASA WANAZIDAKA MOJA KWA MOJA TOKA TRA [YAANI WANATUIBIA WATANZANIA],KWA MAKUSUDI,TENA MABAYA WAMEAMUA KUWAPONZA CANAVARO NA MGOSI,AMA KWELI FEDHA-FEDHEHA.CCM NA MFUNGWA WA BASATA SHILOLE HAYA HAYA.KAZI KWENU BASATA NA TFF, WATANZANIA TUNAWAANGALIA.
Anonymous wa September 22, 2015 at 3:47 PM Hivi wewe unavyoandika na kushabikia Ukawa umehongwa na chama hicho kwa vile wenzio kila wakiandika unasema wamehongwa na CCM. Hivi mwenzetu umesoma mpaka wapi maanake nikisoma makala zako nyingi ambazo umekuwa unaandika najikuta niko gizani. Swala la pesa na kuhonga hebu waulize hao unaowashabikia zile hela za ufisadi na zinazosemekana kuwa walipewa ili kuwapokea wakimbizi kutoka CCM wamepeleka wapi kiasi kwamba uchaguzi bado lakini tayari wameshaishiwa na sasa wameanza kuchangisha wananchi ili wapate hela za kuendeshea kampeni! Ujue kuwa Tanzania swala kama hili siyo la kawaida na wananchi wakishajua kuwa kuna michango watawastukia. Ukumbuke pia kuwa katika hotuba nyingi zilizotolewa mmekuwa mnajigamba kuwa mtatoa kero kwa wananchi ikiwa pamoja na kero za michango, kwa hatua kama hii mtawambia nini Watanzania. Hii ndiyo moja ya hatua mtakazo chukua kuondoa kero au wananchi watarajie kuwa kero ndiyo zitakuwa nyingi mkichukua madaraka!
ukawa wengi sana kwenye mitandao sijui huko mitaani vipi,?? wapiga kura wengi wapo mitaani hasa vijijini, wauza maji na sigara kwenye vituo vya mabasi wazugaji tu, ni sawa na bendera inafuata upepo unapokwenda.
12 comments:
Matangazo ya Biashara isiyouzika!!
Washakula vijisenti vya ccm hao waaooo, si vibaya shikilieni tuu picha yake kama mlivyoshikizwa mshiko lakini siku ya uchaguzi mpigieni mr L
Hizi kampeni za ccm in kama fiesta vile.
Ni vyema kupokea hicho kidogo walau kitawanufaisha. Ninsawa na Bulembo manenonanayotamka kwenye mikutano kwamba Ikulu ninya CCM milele hayana msingi na mh. JPM ni vyema usimhusishe kwenye mikutano yako anatuharibia kampeni kama wengine walovyoluwa na ukaamua kuiwaacha! Vyema uzungumze mwenyewe kwani wengi wanaangamiza chama mchana kweupee.
Mdau hapo juu, amka! Hii inaitwa 'campaign endorsement', acha ushamba!
Ngojea tarehe 25/10/2015 tuone kama utaendelea kuandika tena.
Pesa ya Escrow inafanya kazi October 25 mtaitapika hadharani. Hiyo michezaji badala ya kuwa burudani kwa watu inakuwa kero. ccm kitu gani siku hizi.
Yote mnayoyaandika hapa ni sawa; wakati wa siasa, tunaweza kuhitilafiana. Hakuna mwenye haki kweli!!
HAPA KUNA MAMBO MATATU YAMEWATOKEA MANAHODHA HAWA WA YANGA CANAVARO NA HUYU WA SIMBA MGOSI.LA KWANZA NI TAMAA YA FEDHA BILA KUJALI MATOKEO YA BAADAYE [CONSEQUENCES] WAMEHONGWA PESA NYINGI ILI KUUDHALILISHA UTU WAO,PILI NI ELIMU NDOGO KWA KUTOFAHAMU KWAMBA ZILE JEZI NI ZA MFADHILI NA ZINA MIIKO YAKE KIMKATABA.HAWA HAWANA UELEWA MPANA ELIMU YAO NI NDOGO, FINYU NA TATU USHAMBA.HAWA NI WASHAMBA ASILI NA KAMWE HAWATASTAARABIKA.LAKINI PIA TUKIRUDI KWA CCM WAMEFANYA UHUNI USIO NA MAANA WALA MASHIKO.KWA KUTUMIA RUSHWA YA WAZI KWA PESA HIZI ZA KAMPENI AMBAZO SASA WANAZIDAKA MOJA KWA MOJA TOKA TRA [YAANI WANATUIBIA WATANZANIA],KWA MAKUSUDI,TENA MABAYA WAMEAMUA KUWAPONZA CANAVARO NA MGOSI,AMA KWELI FEDHA-FEDHEHA.CCM NA MFUNGWA WA BASATA SHILOLE HAYA HAYA.KAZI KWENU BASATA NA TFF, WATANZANIA TUNAWAANGALIA.
Anonymous wa September 22, 2015 at 3:47 PM Hivi wewe unavyoandika na kushabikia Ukawa umehongwa na chama hicho kwa vile wenzio kila wakiandika unasema wamehongwa na CCM. Hivi mwenzetu umesoma mpaka wapi maanake nikisoma makala zako nyingi ambazo umekuwa unaandika najikuta niko gizani. Swala la pesa na kuhonga hebu waulize hao unaowashabikia zile hela za ufisadi na zinazosemekana kuwa walipewa ili kuwapokea wakimbizi kutoka CCM wamepeleka wapi kiasi kwamba uchaguzi bado
lakini tayari wameshaishiwa na sasa wameanza kuchangisha wananchi ili wapate hela za kuendeshea kampeni! Ujue kuwa Tanzania swala kama hili siyo la kawaida na wananchi wakishajua kuwa kuna michango watawastukia. Ukumbuke pia kuwa katika hotuba nyingi zilizotolewa mmekuwa mnajigamba kuwa mtatoa kero kwa wananchi ikiwa pamoja na kero za michango, kwa hatua kama hii mtawambia nini Watanzania. Hii ndiyo moja ya hatua mtakazo chukua kuondoa kero au wananchi watarajie kuwa kero ndiyo zitakuwa nyingi mkichukua madaraka!
ukawa wengi sana kwenye mitandao sijui huko mitaani vipi,?? wapiga kura wengi wapo mitaani hasa vijijini, wauza maji na sigara kwenye vituo vya mabasi wazugaji tu, ni sawa na bendera inafuata upepo unapokwenda.
CCM Oyeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!
Post a Comment