Huyu huyu ndiyo alimtukana Cardinal Pengo leo hii anajiona mwenye hekima really?. na kwanini viongozi wa dini ndiyo wasemaji na washawishi wakuu ndani ya Ukawa hii inatupatia picha gani Watanzania?.
Kwasababu viongozi wa UKAWA ni walutheri, na Ngwajima hapendi wakatoliki ndiyo maana alim tukawa Pengo. Sasa anataka kushawishi waumini wake wampigie kura Lowassa kwasababu ni mlutheri.
Kama umemsikiliza vizuri utagundua jinsi anavyo muiita Dr Slaa kwa msisitizo wa "yule Padiri"
.Chadema inaudini japo malofa wanajifanya wamejaa upofu hawaoni hilo. Ndiyo maana wamemtowa Dr Slaa. Sasa viongozi wote ni kutoka Kaskazini na ni walutheri.
Na hii yote ni hasira ya kuambiwa na Ridhiwani Kikwete kuwa rais wa Tanzania hatokaa atokee Kaskazini!
Dr slaa yeye si ndiyo alioanza?sasa unataka aliowatuhumu wakae Kimya?mbona alivyoongea dr slaa kuwashtumu maaskofu na lowasa hamkupinga?achani unafiki CCM
sikilizeni ninyi ccm ambao mnatapatapa sasa hivi. dr slaa anatumiwa na ccm kujaribu kuzuia mafuriko ambayo kila akijaribu tuu yanamsomba na yeye. sikiliza wee ccm uliebaki na silaha moja tu. sasa ivi unachezea nusu uwanja na ball position ni kama ifuatavyo. ukawa 80% na ccm 20%. ina maana mnachofanya sasa hivi ni KUDEFEND TU hata goli la mkono hamtalipata kwa vile hata nusu uwanja hamjafika mmekusanyika tu golini mnadefend. mmeona sasa yanaanza kuibuka mmemkimbiza slaa marekani. na bado
hivi huyu gwajima ana mapepo, si alisema alikuwa rafiki wa slaa. na alikuwa anaomba nao. sasa nini kinachomshangaza kwamba dr slaa hajaoa. huyu jamaa kweli kilaza, juzi kati hapa alimtukana kadinali pengo sasa anajifanya kuwatetea. kweli huyu jamaa si mchumngaji ni mchekeshaji. watanzania kuweni makini na huyu mtapeli
8 comments:
Huu ni upuuzi.Huwezi tegemea upuuzi kama huu utoke kwa mchungaji regardless of political or personal interests.
Sasa wewe kama unavyojiita mchongaji wa kanisa hayo mambo ya mtu na mkewe yanahusu nini kama usiumbeya.
Huyu huyu ndiyo alimtukana Cardinal Pengo leo hii anajiona mwenye hekima really?. na kwanini viongozi wa dini ndiyo wasemaji na washawishi wakuu ndani ya Ukawa hii inatupatia picha gani Watanzania?.
Kwasababu viongozi wa UKAWA ni walutheri, na Ngwajima hapendi wakatoliki ndiyo maana alim tukawa Pengo. Sasa anataka kushawishi waumini wake wampigie kura Lowassa kwasababu ni mlutheri.
Kama umemsikiliza vizuri utagundua jinsi anavyo muiita Dr Slaa kwa msisitizo wa "yule Padiri"
.Chadema inaudini japo malofa wanajifanya wamejaa upofu hawaoni hilo. Ndiyo maana wamemtowa Dr Slaa. Sasa viongozi wote ni kutoka Kaskazini na ni walutheri.
Na hii yote ni hasira ya kuambiwa na Ridhiwani Kikwete kuwa rais wa Tanzania hatokaa atokee Kaskazini!
Sad! Wagombanapo punda nyasi ndiyo huumia!!!
wakati wote ukweli unauma. ukawa mbele kwa mbele
Dr slaa yeye si ndiyo alioanza?sasa unataka aliowatuhumu wakae Kimya?mbona alivyoongea dr slaa kuwashtumu maaskofu na lowasa hamkupinga?achani unafiki CCM
sikilizeni ninyi ccm ambao mnatapatapa sasa hivi. dr slaa anatumiwa na ccm kujaribu kuzuia mafuriko ambayo kila akijaribu tuu yanamsomba na yeye. sikiliza wee ccm uliebaki na silaha moja tu. sasa ivi unachezea nusu uwanja na ball position ni kama ifuatavyo. ukawa 80% na ccm 20%. ina maana mnachofanya sasa hivi ni KUDEFEND TU hata goli la mkono hamtalipata kwa vile hata nusu uwanja hamjafika mmekusanyika tu golini mnadefend.
mmeona sasa yanaanza kuibuka mmemkimbiza slaa marekani. na bado

Post a Comment