ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 19, 2015

Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio Kusifu na Kuabudu - Jumapili hii 20 Septemba 2015 Kuanzia saa kumi kamili jioni

IYK Columbus, Ohio
Mchungaji Kiongozi Ipyana Mwakabonga
Karibu tovuti ya Ibada ya Kiswahili bonyeza hapa: www.iykcolumbus.org
Pamoja na kwa umoja tukue na kuimarika katika Misingi Imara ya Kiimani na kudumisha Upendo ndani ya Utamaduni wetu!
TUTAENDELEA NA MAOMBI MAALUMU KWA AJILI YA UMOJA, AMANI NA UPENDO KWA AJILI YA NCHI YA TANZANIA KWA WAKATI HUU WA UCHAGUZI MKUU.
MUNGU IBARIKI TANZANIA! 

No comments: