Advertisements

Friday, September 4, 2015

Lowassa Aamua kukimbia kuonyesha kwamba yupo fiti

5 comments:

Anonymous said...

Haahahhaahahahahhahahaahhahahh! Hivi hapo anakimbia au ananyata? Embu acheni utani Chandema sijui Chadema

Anonymous said...

Huko ni kukimbia au kutembea kwa haraka!

Anonymous said...

kukimbia gani huko, hujaona jammaaa yukoo nyuma yake ili akianguka amdake. mzee mgonjwa na huko sio kukimbia ni joke

Anonymous said...

Kama ni mimi ningemshauri Bwana Lowassa aitoe hii video yake inayo mwonyesha ana kimbilia kwenye helikopta kwani haimjengi chochote ukilinganisha na kichwa cha habari kuwa "Lowassa Aamua kukimbia kuonyesha kwamba yuko fiti". Kwanza katika sekunde 14 za video hii Lowassa anaonyeshwa akikimbia sekunde 8 tu za mwanzo kitu ambacho hakiashilii mambo mazuri kwa mlengwa. Pili ukiangalia wakati akikimbia unaona kuwa huyu bwana anakuwa kama ana ruka ruka badala ya kukimbia kuonyesha kuwa hana balance. Tatu kati ya bwana Lowassa na pale helikopta iliposimama ni karibu mno kiasi kwamba mtu hawezi kubaini kwamba mlengwa, kwa kukimbia umbali huo, inaonyesha kuwa yuko fiti. Pamoja na haya yote ripoti zake nyingine kuhusu muda anaotumia kutoa hotuba katika wakati huu muhimu unaendeleza zaidi mjadala huu kwani katika kipindi kama hiki watu wanataka kusikia zaidi kwa mgombea wao kuliko wasindikazaji wake. Kwa mfano, habari za mtandao wa Daily News ya tarehe 4/9/2015 zinaonyesha kuwa alivyowahutubia wafuasi wake pale Shule ya Msingi ya Ndula iliyoko nje kidogo ya mji wa Sumbawanga, Lowassa aliweza kuongea kwa dakika 5 (tano) tu. Na hali hii inaonyesha kurudia rudia katika sehemu zingine ambazo amekuwa akienda. Hata Dar es Salaam wakati wa siku ya ufunguzi ambayo ndiyo siku muhimu sana kuliko zote katika kampeni hizi aliweza kuonge dakika 10 (kumi) tu.

Anonymous said...

Na mtachonga sana