Kiongozi wa Kamati ya Ushindi kwa CCM kutoka Kigoma, Nicholaus Zacharia (kulia), akimtambulisha Yusuf Manji katika uzinduzi huo.
Mgombea nafasi ya udiwani Kata ya Mbagala Kuu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Manji (kushoto), akihutubia wananchi na makada wa chama hicho katika uzinduzi wa kampeni uliofanyika eneo la Kichemuchemu Kaskazini Dar es Salaam leo jioni.
Kiongozi wa Kamati ya Ushindi kwa CCM kutoka Kigoma, Nicholaus Zacharia, akihutubia katika uzinduzi huo.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Wilaya ya Temeke, Sophia Kinega akihutubia kwenye uzinduzi huo.
Mchumi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Neema Urio akihutubia kwenye uzinduzi huo.
Kada wa CCM, Godbertha Kinyondo akisalimia wananchi kwenye uzinduzi huo.
Makada wa CCM wakiserebuka
Vijana wa hamasa wa CCM wakiwa kazini.
Wananchi wakiwa kwenye mkutano huo.
Michango mbalimbali ikitolewa.
Umati ukimsikiliza Yusuf Manji.
Mkazi wa eneo hilo, Sharifa Ali akimueleza Manji kuhusu kero ya kutokuwa na soko.
Dogo akihubia kwenye uzinduzi huo. Dogo huyo alisema wana CCM wanapaswa kumchagua Magufuli kuwa Rais, Mbunge Mangungu na Diwani Manji.
Chipukizi wakifanya vitu vyao.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye uzinduzi huo.
Yusuf Manji (kulia) akifuatilia matukio mbalimbali kwenye uzinduzi huo.
3 comments:
SAMAHANI HIVI HUYU YUSUPH MANJI NDIYE YULE MANJI MMILIKI WA QUAITY GROUP? PILI NDIYE HUYU MANJI ALIYELETA KIZAAZAA DODOMA WAKATI WA MKUTANO MKUU WA CCM JULY 2015 LILIPOKAMATWA SANDUKU LAKE LENYE MILLION 750 ALIZO MPELEKEA MEMBE AWAGAWIE WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CCM WAMPITISHE KUGOMBEA URAIS TIKETI YA CCM?TATU JEE NDIYE HUYU YUSUPH MANJI ALIYEMO KWENYE RIPOTI YA BUNGE YA WADAIWA SUGU WA SERIKALI? NA NNE KWA UCHACHE TUU JEE NDIYE HUYU YUSUPH MANJI MKAZI MZALIWA WA UPANGA NA ANAISHI MASAKI?
Mi siamini Duh! Hii mfano wake ni Kama Mtu mwenye PHD halafu akaombe kazi shule ya vidudu.
MKAZI WA MASAKI ANAGOMBEA UDIWANI MBAGALA KUU,SASA HIVI WANACHAMA NA VIONGOZI WA CCM WA ENEO HILO WANANUKA PESA CHAFU ZA UTAKATISHAJI ZA BAROON TRAFFICKIER YUSUPH MANJI ALIYEWAHI KUMLIPIA YUSUPH MAKAMBA DENI LA NYUMBA ALIYOPEWA NA MAGUFULI OYSTERBAY.YAANI TUTAYAFAHAMU ZAIDI MADHAMBI MAKUBWA YA CCM BAADA YA KUWAANGUSHA CCM OCTOBER 25,2015.PESA NYINGI KWA MATRILLION ZITAREJESHWA HAZINA NA,KIKUBWA ZAIDI WAHALIFU WATAFIKISHWA KWENYE VYOMBO VYA SHERIA.
Post a Comment