Advertisements

Tuesday, September 1, 2015

MJUE SUPER MODEL HERIETH PAUL MTANZANIA ALIYEPATA MKTATABA NA SEPHORA COSMETICS & BEAUTY


Ninafurahi kukupa taarifa hii mahususi ya Binti MTANZANIA - HERIETH PAUL - SUPER MODEL anayeishi Canada na Marekani na kufanya kazi zake ‘around the Globe’.

Video mbili ni baadhi tu ya interview alizofanya leo 01/9/2015 - na CTV - Ottawa akizungumzia Mkataba wa kazi alioingia na KAMPUNI kubwa duniani ya vipodozi ‘Sephora Cosmetics & Beauty’ na video ya pili ni MORNING LIVE – Ottawa, ambayo anaelezea mafanikio yake kwa nia ya kuwahamsisha wasichana wa umri wake waweze KUJIAMINI na kufanya kazi bila kujali umri wala rangi. ‘ Jiamini, fanya kazi kwa bidIi, na Mtegeeme MUNGU’ Kila jambo linawezekana’ .

Tafadhali ona video mbili chini.

CTV News at 6 story: http://ottawa.ctvnews.ca/video?clipId=693426&binId=1.1164511&playlistPageNum=1

CTV Morning Live interview: http://ottawa.ctvnews.ca/video?clipId=693771&binId=1.1164511&playlistPageNum=1

UBALOZI WA TANZANIA OTTAWA

No comments: