Hatutaki kamati kuu ya ccm kuongoza nchi Kwani magufuli akiwa rais bado jk atakuwa mweyekiti Lowassa Wetu si mwenyekiti wa chadema Ukawa tuna demokrasi mawaziri atashirikiana na viongozi wa Ukawa kuchangua
weee anonymous wa 9:32am, inaelekea hujui hata katiba ya Tanzania!!! chama chenye wabunge wengi ndio kinachounda baraza la mawaziri ambayo ni mhimili wa kuendesha serikali. sasa wewe kama hujui ccm ndio itakuwa na wabunge wengi,nani kakwambia lowasa atashinda, acha ndoto za mchana. ccm ina wigo mkubwa wa mtandao kuwafikia wananchi sio nyinyi mnasafiri na chopa mijini. watu wanaendesha siasa za shina hadi taifa. subiri tena miaka mingine hamsini ya ukawa labda kama kutakuwa na ukawa ndio mmejaribu kuchukua nchi. siasa sio chopa na umati wa watu ambao wengi hajajiandikisha kupiga kura!!!!! mgombea wa ukawa hawezi hata kutoa sera za lueleweka maana kusimama kwa dakika 17 ni shida. anaishia kuleta siasa za udini eti oooooh unajua mimi mlutheri, nani anajalia wewe dini gani lete sera
Wewe Anonymous wa 2 hinonkana ndio nyie watoto wa viongozi wa CCM mmepanick sana mwaka huu kama Chadema hikishinda zimekula kwenu sisi hatujari nyie kufa mtu mnalala kwenye mitandao kumchafua Rowasa damn pesa ya bure mnao chezea za walala hoi zinawauma sanaa lakini hamjui kuwa mlala hoi ndie hanaumia zaidi kila siku toka kazaliwa nyie mnasoma shuleni kwa magari na dreva wa serikali Kaku subiri nje mlala hoi hanatembea ml 20 kwa siku leo hunamdanganya kuwa tupe sisi hiyo kura tumalizie shule Havard tuludi tanzania turithi kazi za baba zetu hili tuendelee kukutawala hasante mtaisoma #
jibu hoja acha kutoa mapovu,nani kamchafua lowasa. hiyo ndio fact chama kilicho na wabunge wengi ndio kinaunda nserikali mburura. wewe hata katiba ya nchi yako hauijui!!! unajiita mlalahoi maana yake ndio nini? kama magufuli au nyerere wakijiita walalahoi unafikiri nchi ingekuwa hapo kilaza wee. nenda shule acha kulalamika vitu ambavyo hata huvijui, sasa hao watoto wa lowasa,mbowe,slaa,seif wanatembea kwa miguu!!!! acha fikra za mtandio wa akili.
WALIKWAMBIA MAFTAH ANABEBA BOX HAPO UMECHEMSHA NDUGU. BEBA BOX HALIMO NDANI YA KAMUSI ANAYOTEMBEANAYO AO ANYOIFAHAMU MAFTAH. PINGA KUTWA SIYO MWENZAKO. NA KESHO ANAONDOKA KWENDA DAR NA KAMA UNAWEZA BASI FWATANA NAYE SAFARI ZAKE. BILA KUPINGA AMETIYA FORA HUSAFIRI SAFARI 9 HADI 10 KWA MWAKA. ZUNGUMZIA SIASA NDANI YA PLATFORM HII NA HAPANA KASHFA. TULIA ACHA WATU WATEMBEEEE.... CCM OYEE.... CHAMA TAWALA TANZANIA OYEE.... USHINDI WA CCM 2015 NI CASH NA WALA SIYO DENI... TUTASHINDA TUUUU
Fitna acheni hii ni siasa.Lete hoja bila kashfa. New York wanaobeba box wajulikana na hata sisi hapa London wanaobeba box wajulikana. Ukiichukia ccm usimchukii mtu. Pole kwa siasa za majitaka. Na wekeni majina yenu ilitujuane..Hofu ya nini? Kasulwa Shabany
Anonymous wa September 9,7:22pm una gubu,u need to take some pill and chill,be easy,mbona una chuki na lowasa hivyo?its just politics kwani hao CCM wamefanya nn cha ajabu labda kama wewe ni mtoto wa mjumbe rather than that u need to chill,mwaga sera acha kutoka povu na kulowanisha device yako.
Hatutaki kamati kuu ya ccm kuongoza nchi
ReplyDeleteKwani magufuli akiwa rais bado jk atakuwa mweyekiti
Lowassa Wetu
si mwenyekiti wa chadema
Ukawa tuna demokrasi mawaziri atashirikiana na viongozi wa Ukawa kuchangua
Pumba tupu!
Deleteweee anonymous wa 9:32am, inaelekea hujui hata katiba ya Tanzania!!! chama chenye wabunge wengi ndio kinachounda baraza la mawaziri ambayo ni mhimili wa kuendesha serikali. sasa wewe kama hujui ccm ndio itakuwa na wabunge wengi,nani kakwambia lowasa atashinda, acha ndoto za mchana. ccm ina wigo mkubwa wa mtandao kuwafikia wananchi sio nyinyi mnasafiri na chopa mijini. watu wanaendesha siasa za shina hadi taifa. subiri tena miaka mingine hamsini ya ukawa labda kama kutakuwa na ukawa ndio mmejaribu kuchukua nchi. siasa sio chopa na umati wa watu ambao wengi hajajiandikisha kupiga kura!!!!! mgombea wa ukawa hawezi hata kutoa sera za lueleweka maana kusimama kwa dakika 17 ni shida. anaishia kuleta siasa za udini eti oooooh unajua mimi mlutheri, nani anajalia wewe dini gani lete sera
ReplyDeleteWewe Anonymous wa 2 hinonkana ndio nyie watoto wa viongozi wa CCM mmepanick sana mwaka huu kama Chadema hikishinda zimekula kwenu sisi hatujari nyie kufa mtu mnalala kwenye mitandao kumchafua Rowasa damn pesa ya bure mnao chezea za walala hoi zinawauma sanaa lakini hamjui kuwa mlala hoi ndie hanaumia zaidi kila siku toka kazaliwa nyie mnasoma shuleni kwa magari na dreva wa serikali Kaku subiri nje mlala hoi hanatembea ml 20 kwa siku leo hunamdanganya kuwa tupe sisi hiyo kura tumalizie shule Havard tuludi tanzania turithi kazi za baba zetu hili tuendelee kukutawala hasante mtaisoma #
ReplyDeleteHukweli hunauma nonsense ni hipi am in school sasa shule hipi tena niende don't worry your worse life on the way
DeleteWewe maftaha rudi New York hubebe box hacha siasa zao wenyewe
ReplyDeletejibu hoja acha kutoa mapovu,nani kamchafua lowasa. hiyo ndio fact chama kilicho na wabunge wengi ndio kinaunda nserikali mburura. wewe hata katiba ya nchi yako hauijui!!! unajiita mlalahoi maana yake ndio nini? kama magufuli au nyerere wakijiita walalahoi unafikiri nchi ingekuwa hapo kilaza wee. nenda shule acha kulalamika vitu ambavyo hata huvijui, sasa hao watoto wa lowasa,mbowe,slaa,seif wanatembea kwa miguu!!!! acha fikra za mtandio wa akili.
ReplyDeleteWALIKWAMBIA MAFTAH ANABEBA BOX HAPO UMECHEMSHA NDUGU. BEBA BOX HALIMO NDANI YA KAMUSI ANAYOTEMBEANAYO AO ANYOIFAHAMU MAFTAH. PINGA KUTWA SIYO MWENZAKO.
ReplyDeleteNA KESHO ANAONDOKA KWENDA DAR NA KAMA UNAWEZA BASI FWATANA NAYE SAFARI ZAKE. BILA KUPINGA AMETIYA FORA HUSAFIRI SAFARI 9 HADI 10 KWA MWAKA.
ZUNGUMZIA SIASA NDANI YA PLATFORM HII NA HAPANA KASHFA.
TULIA ACHA WATU WATEMBEEEE.... CCM OYEE.... CHAMA TAWALA TANZANIA OYEE....
USHINDI WA CCM 2015 NI CASH NA WALA SIYO DENI... TUTASHINDA TUUUU
Fitna acheni hii ni siasa.Lete hoja bila kashfa.
ReplyDeleteNew York wanaobeba box wajulikana na hata sisi hapa London wanaobeba box wajulikana. Ukiichukia ccm usimchukii mtu. Pole kwa siasa za majitaka.
Na wekeni majina yenu ilitujuane..Hofu ya nini?
Kasulwa Shabany
Anonymous wa September 9,7:22pm una gubu,u need to take some pill and chill,be easy,mbona una chuki na lowasa hivyo?its just politics kwani hao CCM wamefanya nn cha ajabu labda kama wewe ni mtoto wa mjumbe rather than that u need to chill,mwaga sera acha kutoka povu na kulowanisha device yako.
ReplyDelete