ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 14, 2015

MSANII WA AFRIKA KUSINI K.O ATUA DAR KWA ZIARA YA KIMZIKI

Msanii maarufu nchini Afrika Kusini, K.O akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya ziara ya kutembelea vyombo mbalimbali vya habari hasa Televisheni na Redio na kuangalia mziki wa hapa nchini katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam leo.
Thabiso Khati ambaye ni msimamizi wa msaniii K.O akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kazini

No comments: