ANGALIA LIVE NEWS

Friday, September 25, 2015

MTOTO ALIYEPOTEA NA HOUSE-GIRL APATIKANA

Taarifa mpya kutoka kwa familia ya Jullu inasema kuwa mtoto wao Loveness Coletha aliyepotea na dada yake amepatikana na mzazi wake amesafiri kwenda jijini Mwanza kumchukua.
Tunashukuru wote waliojumuika kuifariji familia kwa maneno ya kutia moyo, walioguswa na kuombea matumaini kwa sala, wote waliosambaza ujumbe kwa njia mbalimbali na zaidi sana, kwa watendaji wote wa mamlaka husika waliofanya kazi yao katika kufanikisha hili.
Asanteni!

No comments: