Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo ametunuku Nishani kwa watumishi wa vyombo vya ulinzi na Usalama nchini katika hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni.Pichani Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na watumishi waliotunukiwa nishani za madaraja mbalimbali..Viongozi wengine katika picha waliohudhuria hafla hiyo ni pamoja na Rais Wa Zanzibar Dkt.Mohamed Ali Shein(watano kushoto), Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal, na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue(picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment