ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, September 24, 2015

SHEREHE YA EID DMV

 
Watanzania wa DMV na marafiki zao walijumuika pamoja katika kusherehekea sikukuu ya Eid el Haji siku ya Alhamisi Septemba 24, 2015 Silver Spring, Maryland.
Watanzania waliojumuika pamoja leo kusherehekea sikukuu ya Eid El Haji Silver Spring, Maryland siku ya Alhamisi Septemba 24, 2015.
Mama wa mitindo kutoka Tanzania Asya Idarous Khamsini(wapili toka kushoto) akiwa miongoni wa waliojumuika pamoja kusherehekea sikukuu ya Eid DMV kulia ni binti ya mwanamitindo huyo.
Sala ya Magharibi ikiendelea


No comments: