Advertisements

Wednesday, September 2, 2015

TUNDU LISSU AJIBU SHUTUMA ZA DR. SLAA

Mhe. Tundu Lissu akijibu shutuma alizotoa Dr. Slaa alipokua akifanya mahojiano na Sunday Shomari wa VOA

5 comments:

Anonymous said...

WaTanzania na wenye nia njema ya kuiokoa nchi kwenye ulaji na ufisadi wa kila namna hawana haja ya kumtilia maanani Dr Slaa. Kwani amenunuliwa kwa fedha nyingi tu na Chama tawala na mkewe wakakubali kupokea na hta ukiangalia kwa mantiki fulani kitendo cha kwenda kuongelea Serena Hotel ambayo tunaoijua ni gharama kubwa tena in dolas! Alilipiwa na hao wanaojiweka juu na tena baada ya kikao alishaandaliwa tiketi ya kwenda Marekani kupumzika kama vile alivyofanyiwa Lipumba. WaTanzania tuelewe uongozi unaodhoofisha Tanzania ndio huonwa kuwanunua wanasiasa na tuangalie jinsi hali ya maisha inavyopanda. Mgombea unaahidi kupunguza bei ya vifaa vya ujenzi kea faifa ya wenye fedha waendeleee kujenga majumba makubwa. Mwananchi wa kawaida nyumba ya nyasi hana uwezo na hata akiuza mihogo yake hajanunua bati 2!? What? are you kidding us!! Serikali imekuwa ya kugawana fedha. Dr. Ungekuwa una mapenzi mema na waTanzania ungeendelea na mapambano. Hutufai tuko imara

Anonymous said...

SORRY SIR!WHAT IF YOU DO THE SAME AS HE DID BY MAKING A PRESS CONFERENCE!BUT IT IS VERY EMBARRASSING TO FIND THAT EVEN THE MAN OF GOD IS A COORDINATOR TO POLITICAL ISSUES!!!MAN OF GOD!

Anonymous said...

SORRY SIR!WHAT IF YOU DO THE SAME AS HE DID BY MAKING A PRESS CONFERENCE!BUT IT IS VERY EMBARRASSING TO FIND THAT EVEN THE MAN OF GOD IS A COORDINATOR TO POLITICAL ISSUES!!!MAN OF GOD!

Anonymous said...

Jiandae kuwa wakilli wa EL mahakamani,maana ndio next step.

Anonymous said...

Ama kweli tu wakosefu wa fadhila leo hii huyu babu anasema ukweli kishaonekana msaliti, ukweli utakuacha huru always. Mzee huyu amepata taabu nyingi sana katika kuujenga upinzania nchini. Penye ukweli uongo hujitenga mwenye macho aambiwi tazama