ANGALIA LIVE NEWS

Friday, September 11, 2015

USHUJAA WA LOWASA

USHUJAA WA LOWASA

Kwa miaka miwili tu ya Uwaziri Mkuu, alifanya makubwa sana zaid ya walikoaa miaka 10, pia aliwaonesha na kuwafundisha KWA VITENDO KAMA IFUATAVYO

1.UMUHIMU WA ELIMU AWALI, kwa kuanzia ujenzi wa shule za kata ...lakini tangu alipoondoka ukadolola na kuisha.
2.UMUHIMU WA ELIMU YA JUU..kwa kuhimiza na kusimamia ujenzi UDOM kwa nguvu zote ujenzi ukafanyika..alipoondoka, mpaka leo majengo mengi UDOM hayatumiki (wanafunzi wa UDOM watakuwa mashahidi wa hili), ...waliobaki serikalin wameshindwa hata kufadhilia wanachuo wa kutosha !! vijana wapo mitaani kwa kukosa ufadhili...HII AIBU SANA kwa nchi yenye rasilimali kama Tz.

3,UADILIFI WA VITENDO..Pale serikali ilipokumbwa na kashfa ya Richmond, alijiwajibisha kama waziri mkuu,ili kuiokoa serikali...toka alipoondoka kashfa nyingi zimetokea,wizi mwingi umetokea,ufisadi mwingi umetokea, Taarifa ya CAG imeonyesha hata wizara ya MAGUFULI UFISADI UMETOKEA..lakini wameshindwa kuelewa somo la UADILIFU KWA VITENDO alilowaonyesha kwa vitendo, ..wameshindwa kujiwajibisha.!! Sasa wanatudanganya uadilifu kwenye mapango..wahanga wanasema.."chema chajiuza chenyewe..hakihitaji promo"

4. UJASIRI NA UZALEDO,,alipoteuliwa Mwkt wa kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama alionyesha msimamo dhabiti na pia hotuba kali kwa Rais wa Msumbiji aliyetaka kuingilia mipaka yetu..Na yule mama akakoma...Lakini wameshindwa kuiga mifano yake..mpaka panya road wanatikisa jiji!!..mpaka vituo vya polisi vinavamiwa na Polisi kuuwawa!!..wamekuwa HAWANA UZALENDO WA KULINDA RAIA, wamekuwa DHAHIFU NALEGELEGE!!

5. HAKI NA USAWA,,aliweza kusadia kufanikisha maji ya ziwa victoria kufika mpaka mikoa ya Shinyanga,Tabora. Hakuweka umimi kushughulikia maji Monduli pekee, Sio kama Magufuli alivyoindisha mpango wa barabara na kulazimisha zipite jimboni kwake Chato..huu ni UBAGUZI !!..Toka ameondoka wameendeleza UBINAFSI na UBAGUZI..Mwingine alilazimisha Nyumba ya speaker ijengwe jimboni kwake , mwingine aligawa nyumba za serikali kwa mahawala,mwingine alihamishia gesi kutoka mtwara mpaka kwao bagamoyo, mwingine alijaza ndugu zake kila wizara alipooenda..mf, alipoenda uchukuzi akawajaza kabila lake bandarini,,,Wamesahau somo HAKI NA USAWA alilowaachia wamejaa..UBAGUZI NA UBINAFSI.

6 UWAJIBIKAJI NA UFUATILIAJI MAKINI..aliweza kufatilia ugawaji mahindi ya chakula kwa watendaji wabadhilifu na kuwajibisha hapo hapo..toka ameondoka HAKUNA UWAJIBIKAJI, HAKUNA UFUATILIAJI MAKINI..dawa japo chache hazifiki zinaishia pharmacy zao, Tembo wanauliwa ...hakuna anafailia!!, Madawa ya kulevya yanaingia na kutoka hakuna... anayejali!! Twiga wanapandishwa ndege..hakuna anayewajibishwa !!, nk nk..inauma kweli !!!
Tuna mshukuru MUNGU KAMTOA huko alikotaka kubadilisha mfumo, wakagoma kubadilika kwa maslahi yao binasfi. KAMLETA HUKU TUUNGANE NAE KUBADILI MFUMO MZIMA TUTENGENEZA TANZANIA MPYA. KWA MAFUAA YETU NA VIZAZI VYETU.
MUNGU ATUPE NINI ZAID WATZ, KAMA SIO HUYU MKOMBOZI...
MUNGU MBARIKI EDWARD NGOYAI LOWASSA
MUNGU BARIKI TANZANIA

9 comments:

Anonymous said...

Maneno ya kuombea kura tu utendaji ni zero, Monduli hata maji safi hakuna na ni mbunge zaidi ya robo karne mashamba ya kahawa na ngano wamepewa wageni wenyeji wanaangaika kwa kuama ama na mifugo yao kutafuta maji na sehemu za wazi. Kahawa na ngano vimekosa soko la maana leo hii unatoa ahadi Tanzania mzima wakati hapo kwenu Monduli tu tia tia maji, umeshajineemesha vyakutosha baba tulia ujiuguze usije tutia rahana bure. Funza anakula mizoga na yeye akifa analiwa na nani....kiongozi mwadirifu hawezi kupatikana kwa mabadiriko kila mjana atajineemesha mwenyewe na familia yake kwanza kwani ndiyo Africa yetu hiyo na kasumba ya ubinafsi.

Unknown said...

Mtu aliegubikwa na kafsha kadha wa kadha ana ushajaa wa gani sisi wasafrika watu wa hovyo. Hayo mabilion ya dili la Richmond aliyotengeza ndizo zinazotumika kuwanunua hawa watu kutoa takwimu za uwongo na kipumbavu kama hizi.

Anonymous said...

Tatozo ni kuwa watu wamechoshwa na ccm. Kwavile hawana pa kukimbilia, Lowasa ndo chaguo lao.

Unknown said...

Weye annon wa kwanza hapo juu, kwanza kajifunze vizuri lugha ya kiswahili na jinsi ya kuandika then ndo uje urushe hapa utumbo wako...laana- rahana, hizi division 5 ni majanga ya taifa!!!

Anonymous said...

Pumba juu ya pumba!

Daniel said...

KAMA HUNA CHA KUCOMMENT SI UNYAMAZE TU KULIKO KUANZA KUTOA KASHFA FEKI.
HATA MAGUFULI AKITOKA CCM NA KWENFA UPINZANI MTAIBUA MAMBO MENGI KWA AJILI YAKE.

Anonymous said...

Mwandishi wa habari hii atueleze ni lini Rais wa Msumbuji alitaka kuingilia mipaka yetu na tangu lini nchi hiyo imekuwa na rais mwanamke? Tatizo la kutumwa kuandika kitu ambacho hukielewi na hata hukifanyii utafiti kwanza ndiyo kuishia kupotosha ukweli wa mambo.

Nakushauri usikilize kanda iliyoko kwenye mtandao ambayo Sumaye wenu anaelezea kuhusu uuzaji wa nyumba za serikali ujue jinsi viongozi wenu walivyo ndumila kuwili.

Nakubaliana na hoja za waandishi wa kwanza na pili hapo juu. Huyu mtu hatufai.

Anonymous said...

Watatapa sana kila kona
Kila kukicha Lowassa kila mitandao
Kuna kijimange kimambi Kikongo USA
Kinanmtukana Lowassa Kila Leo
Lakini baba yake mange merehemu
Kimambi alikuwa muuza unga mkuu kunduchi yote tunamjuwa
Hat and kifo utata alidhumu mtu
Eti leo mange kawa kada wa ccm shame you

Anonymous said...

Mtaandika usiku kucha, mtatukana kwenye mitandao usiku na mchana lakini Oktoba 25 itawaziba pumzi na Ikulu hamtaiona. CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeee!!!