ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, September 24, 2015

WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU WAFANYA IBADA KUBWA YA EID EL HAJJ KATIKA VIWANJA VYA BARAFU MIJINI DODOMA

 Ustaadh Yahaya Kiduma akitoa mawadha ya Dini ya Kiislamu katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma wakati wa Swala ya Eid El Haji iliyoandaliwa na kamati ya Sherehe za Dini hiyo mkoani humo.
Shekh wa Msikiti wa Nunge Ahmed Zuber akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani mara baada ya kumaliza kuswalisha Swala ya Eid El Haji katika viwanja vya jamhuri mjini Dodoma.
 
 Waumini wa Dini ya Kiislamu wakifanya Ibada ya Eid El Haji katika uwanja wa Jamhuri, ambapo ibada hiyo iliandaliwa na kamati ya maandalizi ya Sherehe za kiislamu Mkoani Dodoma ambayo ilihudhuliwa na idadi kubwa ya waumini hao.
 
 
 
Waumini hao wakiwa viwanjani humo wakati wa Ibada iliyofanyika katika viwanja vya Barafu mjini Dodoma

1 comment:

Anonymous said...

Swala au kampeni??? Mapambo yenyewe!!