ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, September 2, 2015

WIZARA YA MAMBO YA NJE YA MAREKANI YAMUAGA BALOZI AMINA SALUM ALI

 Wafanyakazi wa Umoja wa Afrika Washington, DC wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi Amina Salum Ali, Balozi wa Afrika Union aliyemaliza muda wake siku ya Jumanne Sept 1, 2015 katika ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani zilizopo DC kwenye hafla fupi ya kumuaga aliyofanyiwa na Wizara hiyo.
 Duputy Assistant Secretary wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani  akiongea na kumwagia sifa Balozi Amina Salum Ali.
 Balozi Amina Salum Ali akiwashukuru Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kwa ushirikiano waliompa katika kipindi chote cha uongozi wake kama Balozi wa kudumu wa Umoja wa Afrika nchini Marekani.
Picha ya pamoja

No comments: