Kikosi cha timu ya Zanzibar Star Diaspora Nchini Marekani
Tukumbuke burudani ni ya siku moja, na Mechi ya kwanza itaaza rasmi, Majira ya Asubuhi Saa (10:00am hadi 11:30am), ambapo
Group A: - Tanzania Stars itachuana vikali na timu ya Rwanda
Na kuazia Asubuhi ya Saa 11:30am hadi Mchana1:00pm ni
GROUP B: - KENYA vs ZANZIBAR
Katika Mshindi atakaepatikana hapo yaani FINALS itachezwa Mchana wa saa 2:00pm hadi 5:00pm.
Michuano hii inafanyika ikiwa ni sehemu ya maadhimisho siku ya Wafanyakazi nchini Marekani.
Nyote mnakaribishwa kuangali burudani ya aina yake kwa wale wapenzi wa mchezo wa Soka.
ANUANI: FAIRLAND RECREATIONAL PARK
3928 GREENCASTLE RD. BURTONSVILLE, MD. 20866.
No comments:
Post a Comment