Mgombea Mwenza wa urais
wa Chadema, Juma Haji Duni (kushoto) akikabidhi barua ya malalamiko leo kuhusu
matokeo ya uchaguzi yaliyotangazwa na NEC kwa Ofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dar
es Salaam. Katikati ni Wakili wa Chadema, John Mallya. (Picha na Francis Dande)
Mgombea Mwenza wa urais
wa Chadema, Juma Haji Duni (kushoto) akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakati alipowasili kukabidhi barua ya malalamiko kuhusu
matokeo ya uchaguzi.
Mgombea Mwenza wa urais
wa Chadema, Juma Haji Duni (kushoto) akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakati alipowasili kukabidhi barua ya malalamiko kuhusu
matokeo ya uchaguzi. Kulia ni Ofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Mgombea Mwenza wa urais
wa Chadema, Juma Haji Duni (kushoto) akihakikia nyaraka za malalamiko kabla ya kukabidhi NEC.
Mgombea Mwenza wa urais
wa Chadema, Juma Haji Duni akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukabidhi barua ya malalamiko kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Mgombea Mwenza wa urais
wa Chadema, Juma Haji Duni akitoka katika Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi huku akiongozana na wakili wa Chadema, John Mallya.
No comments:
Post a Comment