ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 31, 2015

Dk Bilal ahudhuria na kuhutubia mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika na India, New Delhi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri Mkuu wa India Dr. Narendra Moodi walipokutana kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Stadium Indiragandi mjini New Delhi India jana, wakati Makamu wa Rais alipohudhuria na kuhutubia mkutano wa tatu wa mahusiano ya India na Afrika kwa Wakuu wa Nchi hizo uliolenga na kujadili suala la kuendeleza fursa za kimahusiano katika Nyanja za Biashara, Sayansi, Teknolojia, Afya na Kilimo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri Mkuu wa India Dr. Narendra Moodi walipokutana kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Stadium Indiragandi mjini New Delhi India jana, wakati Makamu wa Rais alipohudhuria na kuhutubia mkutano wa tatu wa mahusiano ya India na Afrika kwa Wakuu wa Nchi hizo uliolenga na kujadili suala la kuendeleza fursa za kimahusiano katika Nyanja za Biashara, Sayansi, Teknolojia, Afya na Kilimo.(Picha na OMR)

2 comments:

Anonymous said...

HUKU NYUMBANI RAIS WA AWAMU NYINGINE ANASUBIRIA KUAPISHWA.HAYA NI MATUMIZI MABAYA YASIYOKUBALIKA YA PESA ZA SERIKALI.KIKWETE UNATAKA UMUACHIE MHE.MAGUFULI HAZINA NYEUPE? LAKINI ANGALIA, MAGUFULI HANA SIMILE ATAKULIPUA KAMA JUZI ALIVYOKUAMBIA WAZIWAZI KUWA UNAWAFUGA WAHALIFU NDANI YA CCM.

Anonymous said...

Achakutoa lawama za kitoto wewe Anony.@11:45 PM. Shughuli za kiserikali hazisimamishwi during presidential transition. Diplomacy is a continuous process irrespective of who is in power. Honestly, your comment does not deserve audience, simply because you are clueless on how governments operate or conduct business during and after an election.