ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 21, 2015

DK. GHARIB BILAL AZINDUWA KITUO CHA MAWASILIANO YA INTANETI IP POP CHA TTCL


Pichani Juu ni Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Mohammed Gharib Bilal (kulia) akizinduwa rasmi kwa niaba ya Rais wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete Kituo cha Mawasiliano ya Intaneti (Internet Protocal Point of Presence-IP POP) cha Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL) leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa akishuhudia.
 Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Mohammed Gharib Bilal (wa pili kushoto) akipata maelezo namna kituo cha mawasiliano ya intaneti cha TTCL kilichozinduliwa leo kinavyotoa huduma zake. Kushoto kwa Dk. Bilal ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa na viongozi wa TTCL.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) akimkabidhi zawadi Dk. Bilal mara baada ya kufanya uzinduzi wa Kituo cha Mawasiliano ya Intaneti (Internet Protocal Point of Presence-IP POP) cha TTCL pamoja na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano.
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Mohammed Gharib Bilal akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika jengo la Kituo cha Mawasiliano ya Intaneti (Internet Protocal Point of Presence-IP POP) cha TTCL kabla ya uzinduzi ulofanyika leo Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Mohammed Gharib Bilal (aliyeshika kipaza sauti) akizungumza na wafanyakazi wa kampuni ya TTCL mara baada ya kuzinduwa Kituo cha Mawasiliano ya Intaneti (Internet Protocal Point of Presence-IP POP) cha TTCL ulofanyika leo Dar es Salaam.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa Kituo cha Mawasiliano ya Intaneti na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano leo jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Mohammed Gharib Bilal akiwasili katika hafla ya uzinduzi wa Kituo cha Mawasiliano ya Intaneti.
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Mohammed Gharib Bilal (wa pili kushoto) akipata maelezo namna kituo cha mawasiliano ya intaneti cha TTCL kilichozinduliwa leo kinavyotoa huduma zake. 
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Mohammed Gharib Bilal (aliyeshika kipaza sauti) akizungumza na wafanyakazi wa kampuni ya TTCL mara baada ya kuzinduwa Kituo cha Mawasiliano ya Intaneti (Internet Protocal Point of Presence-IP POP) cha TTCL ulofanyika leo Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Mohammed Gharib Bilal akihutubia mara baada ya kuzinduwa Kituo cha Mawasiliano ya Intaneti (Internet Protocal Point of Presence-IP POP) cha TTCL pamoja na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano.
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Mohammed Gharib Bilal akibofya kitufe kuzinduwa rasmi Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano.
"...Zawadi toka TTCL..." Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) akimkabidhi zawadi Dk. Bilal mara baada ya kufanya uzinduzi wa Kituo cha Mawasiliano ya Intaneti (Internet Protocal Point of Presence-IP POP) cha TTCL pamoja na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano.
Salamu za shukrani kwa mgeni rasmi toka Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia zikitolewa na Katibu Mkuu.
Picha ya pamoja kati ya mgeni rasmi Dk. Bilal pamoja na viongozi na maofisa wa TTCL mara baada ya kufanya uzinduzi wa Kituo cha Mawasiliano ya Intaneti (Internet Protocal Point of Presence-IP POP) cha TTCL pamoja na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano. Zimeandaliwa na www.thehabari.com.

No comments: