Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi wa Magu Mkoa wa Simiyu katika viwanja vya Sabasaba katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika leo Alhamisi 15/10/2015
Mhe. Freeman Mbowe akitoa elimu ya upigaji kura katika viwanja vya Sabasaba,Jimbo la Magu mkoani Simiyu, leo Alhamisi 15/10/2015
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akimnadi mgombea
Wananchi wakisikiliza kinachoendelea katika mkutano huo
7 comments:
Rais wameziba Kila kona tusitoe mawazo yetu
Kwenye udaku glob
Rais ni Magufuli bwana.
HAKUNA ALICHAGULIWA MPAKA SASA
Rais ni Lowasa tukutane kwenye box
CCM juu na Magufuli Oyeeee. Tarehe 25/10/2015 yote yatawekwa bayana.
Lowassa Lowassa ni nabii
Ngalika nyingine zitatokea kabla ya uchaguzi
Pls viongozi wa CCM acheni tumchaguwe tunayemtaka .narudia tena watakufa wengi kabla ya uchaguzi wote wanaomtukana na kumkafshifu Lowassa nimeoteshwa ndoto Sipo bongo nipo ughaibuni
Lubuva Lubuva
Hata Monduli kashindwa kutawala hivyo mkimchagua atatawala wapi? CCM Oyeeeeeeeeeeee.
Post a Comment