Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi wa Kyela Mkoani Mbeya katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika jumatatu tarehe 19/10/2015
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Freeman Mbowe, akihutubia wananchi katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa wananchi wa Kyela Mkoa wa Mbeya katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika jumatatu tarehe 19/10/2015
Umati mkubwa ukimsikiliza Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa alipokuwa anazungumza na wananchi wa Kyela
5 comments:
mimi ni mmoja wa maelfu kwa maelfu ya watu tuliohudhuria mkutano huu wa kihistoria uliohutubiwa na mgombea urais kupitia ukawa-chadema mheshimiwa edward ngoyai lowassa.huu ulikua ni mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2015.siku ilikua ni jumatatu tarehe 19 octoba 2015.sijawahi kuuona umati wa watu kusshiriki kwenye mkutano wilayani kyela kama huu uliokuwepo.haijawahi kutokea tangu tupate uhuru miaka 55 iliyopita.kabla ya hapo ulipitishwa ujumbe wa uvumi kwamba lowassa hawezi kuja kyela.huo ni uoga mkubwa wa kisiasa.aliandaliwa zuria la khanga lenye urefu wa kilomita moja, mabango yakisomeka kuwa mheshimiwa lowassa tunaamni wana kyela kuwa yeye ndiye rais ajaye wa awamu ya tano wa jamhuri ya muungano wa tanzania.bado tunahesabu siku tano,tunaendelea kuzidisha maombi,sala,dua tukiombea amani na utulivu nchini ili wapiga kura wakatimize haki yao ya kidemokrasia.mungu ibariki tanzania,mbariki mpendwa wetu mheshimiwa edward ngoyai lowassa,mzidishie ujasiri,hekima kuu na afya njema.
mtatandika kanga sana hakuna ushindi hapo, juzi tunduma hakuweza kutokea diaper lililowana. maskini mzee wa kimasai misuli haiwezi kuzuia haja kubwa, mbadilishe diaper baada ya uchaguzi maana ataumwa Zaidi baada ya kukosa uraisi.
so what?toa hoja kashfa za nini sasa?kwani wewe ni mzima hapo ulipo?acheni kufuru nyie,
so what?toa hoja kashfa za nini sasa?kwani wewe ni mzima hapo ulipo?acheni kufuru nyie,
Hata mkisema mengi haitawasaidia - hapa ni kazi tu na Magufuli Ikulu tarehe 25/10/2015.
Post a Comment