ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 4, 2015

RAIS KIKWETE KATIKA ZIARA YA KUAGA NCHINI KENYA

 Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto akiongozana na Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe Haule wakisogea eneo la kupokelea wageni mashuhuri katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi Jumapili jioni
 Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto akisalimiana na kikundi cha kuimba Accapella  eneo la kupokelea wageni mashuhuri katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi Jumapili jioni
 Ndege la Shirika la Ndege la Air Tanzania iliyomchukua Rais Kikwete ikiwasili uwanjani hapo
 Rais Kikwete akishuka katika ndege
 Rais Kikwete akilakiwa kwa furaha na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto
 Rais Kikwete akipokea shada la maua
 Rais Kikwete akitambulishwa kwa viongozi na maafisa mbalimbali wa Kenya
 Rais Kikwete akisalimiana na maafisa ubalozi wa Tanzania nchini Kenya
 Rais Kikwete akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya
 Rais Kikwete akiongozana na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto
 Rais Kikwete akiongea na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto
 Rais Kikwete na mwenyeji wake Naibu Rais wa Kenya Mhe Wiliam Ruto wakiangalia vikundi mbalimbali vya ngoma vilivyokwenda kumpokea uwanja wa ndege

 Rais Kikwete akiongozana na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto
 Rais Kikwte akiweka saini kitabu cha wageni
 Rais Kikwete akiangalia picha mbalimbali zenye historia ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta
 Mratibu wa hafla ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya akisom ratiba wakati wa kuanza kwa shughuli hiyo ya kumuaga Rais Kikwete kwenye hoteli ya  Villa Rosa Kempinski jijini Nairobi 
  Wana Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya katika  shughuli hiyo ya kumuaga Rais Kikwete kwenye hoteli ya  Villa Rosa Kempinski jijini Nairobi

 Balozi wa  Tanzania nchini kenya Mhe John Haule akiongea wakati wa hafla ya Wana Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya waliyoandaa kumuaga Rais Kikwete kwenye hoteli ya  Villa Rosa Kempinski jijini Nairobi

 Dua ya Kiisalamu ikisomwa na mwakilishi wa Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya katika  shughuli hiyo ya kumuaga Rais Kikwete kwenye hoteli ya  Villa Rosa Kempinski jijini Nairobi

 Dua ya Kikristo  ikisomwa na mwakilishi wa Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya katika  shughuli hiyo ya kumuaga Rais Kikwete kwenye hoteli ya  Villa Rosa Kempinski jijini Nairobi
 Makamu Mwenyekiti wa  Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya akisoma risala yao katika  shughuli hiyo ya kumuaga Rais Kikwete kwenye hoteli ya  Villa Rosa Kempinski jijini Nairobi
 Wanajumuiya
 Baadhi ya ujumbe wa Rais Kikwete kwenye hafla hiyo
 Wanajumuiya wakimsikiliza Rais Kikwete
 Rais Kikwete akihutubia wana Jumuiya
 Rais Kikwete akihutubia wana Jumuiya
 Rais Kikwete akihutubia wana Jumuiya
 Wanajumuiya wakipiga makofi
 Meza kuu
 Wanajumuiya na wageni wakishangilia
 Rais Kikwete akipokea zawadi yake toka kwa Jumuiya
 Mapaparazi hawakosekani kwenye shughuli kama hizi....
 Rais Kikwete akipokea zawadi kwa  niaba ya mkewe Mama Salma Kikwete
 Neno la shukurani
 Rais Kikwete akimshukuru mtoa neno 
 Rais Kikwete akiwa na wanachama wa Jumuiya ya Kinamama wa Tanzania waishio Kenya
 RAis Kikwete akiwa na viongozi wa jumuiya
 Rais Kikwete akiwa na wanafunzi wa Tanzania wasomao Kenya
 Rais Kikwete akipata picha na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya
 Rais Kikwete akiwa katika picha ya kumbukumbu na Balozi John Haule na mkewe mama Haule wakati alipoamua kupiga picha na kila mwanajumuiya aliyehudhuria kwenye hafla hii. Hizi na baadhi tu ya hizo picha

 Rais Kikwete akiwa na wanaJumuiya 
Rais Kikwete akipokea maelezo ya badhi ya changamoto wazipatazo wanafunzi wa Tanzania wasomao Kenya kutoka kwa mwenyekiti wa umoja wao

4 comments:

Anonymous said...

mimi kama raia wa tanzania ninashangazwa sana na utaratibu wa mheshimiwa rais kikwete kuaga zaidi nje ya nchi badala ya yeye kuutumia muda huu mchache wa utawala alioubakiza[takriban wiki nne] kuwaaga watanzania ndani ya nchi.kwani ana tatizo gani na watanzania?jee ameharibu nini alipokua madarakani kwa miaka kumi.kama sikosei alilivunja na kuaga bunge dodoma,akawaaga wajumbe wa mkutano mkuu wa ccm pale pale dodoma.mtanisamehe nikiwa nimesahau kama ipo sehemu nyingine tanzania ambapo mheshimiwa kikwete ametembelea kuwaaga wananchi [zaidi ya wana ccm waliomzunguka].tunajua,sisi watanzania kuwa mheshimiwa kikwete alianza utawala wake mnamo 2005 kwa kauli mbiu yake "MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA".na anapomaliza mihula yake miwili leo hii ni vyema kabla hajatuacha atuambie KATUFANYIA NINI KATIKA KUTUKOMBOA NA WIMBI HILI LA UMASKINI.vinginevyo atakuwa hakututendea haki hata kidogo na atatufanya sisi wananchi TUGIIAMINI CCM HATA KIDOGO KWA HALI HIYO TUINYIME KURA ZETU SIKU YA UCHAGUZI MKUU JUMAPILI TAREHE 25 OCTOBA 2015.HATUWEZI KURUDIA KUWACHAGUA WAONGO!

Anonymous said...

Tatizo lako ni kujaa jazba na chuki ndiyo maana umeona sehemu moja tu ambayo rais ametembelea ili kuwaaga Watanzania. Ungekuwa unasoma ukiwa umetulia ungeona habari kutoka blogs na magazeti mbalimbali zinazoongelea sahemu ambazo rais ametembelea na watu gani amekutana nao katika ziara zake za kuaga. Hata hivyo pole sana kwani tarehe 25/10/2015 bado CCM ile ile itaendelea kushika madaraka sijui mwenzetu utafanya nini.

Anonymous said...

asante sawa,nina chuki yaani kuuliza,slogan ya kikwete 'maisha bora kwa kila mtanzania' yako wapi,unasema ni jazba.sawa mungu yupo.kikwete alichukua nchi suruali zetu zikiwa na kiraka kimoja,leo hii anaondoka suruali zetu zimesheheni viraka.maana yangu ni hii ,maisha ya mtanzania ya leo ni duni,magumu,ya mateso yaani afadhali hata tanzania ya 2004 wakati wa mkapa.pili kuhusu kuaga watanzania ndani ya tanzania ukweli unasimama pale pale,HATAKI,ANATUOGOPA,ANATUDHARAU,ANATUNYANYAPAA.MUNGU YUPO

Anonymous said...

Nitafanyaendelea kua rais kiongozi wa kudumu kwenye blogs