Edgar Kisoka akimvisha pete mke wake Porsha Chills ambao baada ya ndoa walikua ni Mr and Mrs Kisoka. Ndoa yao imefanyika siku ya Jumamosi Novemba 14, 2015 ndani ya mji wa Memphis jimbo la Tennessee nchini Marekani.
Porsha akivisha pete mume wake Edgar.
Wakiwasha mshumaa kama ishala ya kuaminika kitu kimoja.
Wakinywa mvinyo
Edgar akimfunua mke wake Porsha.
Edgar akimchum mke wake Porsha.
Edgar na mke wake Porsha wakiruka ufagio wa chelewa kama mila ya Wamarekani Waafrika baada ya ndoa ndivyo wanavyofanya.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment