ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, November 14, 2015

KAMATI KUU YA CCM KUKUTANA DODOMA KESHO TAREHE 15 NOVEMBA




Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM inatarajiwa kufanya kikao chake cha siku moja mjini Dodoma kesho Novemba 15, 2015 kujadili majina ya wana-CCM walioomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Uspika na Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

No comments: