Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi wa Shirika lisilokuwa la Serikali la LUKEMA Community Development and Training Services baadhi ya maboksi ya chaki kwa ajili ya kufundishia watoto wa darasa la awali ikiwa ni sehemu ya msaada kukisaidia kituo hicho. Vifaa vingine vilivyotolewa kama msaada na TTCL kwa kituo cha LUKEMA ni pamoja na maboksi ya chaki, vibao vya kuandikia, madaftari aina mbalimbali ya wanafunzi wa awali, mikeka kwa ajili ya kukalia wanafunzi. Kulia pembeni ni Ofisa Uhusiano wa TTCL Amanda
|
2 comments:
Pamoja na kwamba mashirika kujihudisha na social responsibility ni jambo jema,lakini inashangaza shirika kama hili linaliax2 kwa kukosa fedha za kujiendesha linahaja gani ya ku appropriate badget ya programs kama hizi?
Likewise makampuni ya binafsi km Voda,Celtel nk kila leo wanashindana kufund programs za billions of shillings lakini wameshindwa kupunguza bei ya huduma zao kwa wananchi!
Asante TTCL kuwakumbuka wanafunzi wa Vingunguti, jamani Voda, Pepsi, Coca Cola, kampuni za bia nk nao wapeleke msaada wa madawati na wengineo wafwate
Post a Comment