Wednesday, November 4, 2015

KILIMANJARO STUDIO SASA KUANZISHA KIPINDI CHA MAWAIDHA KILA SIKU YA IJUMAA

Kilimanjaro Studio kwa kushirikiana na TAMCO kuanzia Ijumaa hii ya Vovemba 6, 2015 saa 1 usiku (7pm)ET mpaka saa 2 usiku itakuletea kipindi kipya cha mawaidha kitakachokua LIVE au ukipenda moja kwa moja kupitia Radio za Kwanza Production, Vijimambo na Border Radio kwa ushirikiano wa Nesi Wangu. Unaweza kusikiliza mawaidha kupitia www.kwanzaproduction.com au www.vijimamboradio.com pia unaweza kutupata kwenye tunein kwa kutafuta Vijimambo Radio. Kama unaswali lolote kuhusiana na mawaidha yanayotolewa unaweza piga simu 240 454 0093 kisha bonyeza nyota (star) 5.

Usikose Ijumaa hii na kila siku ya Ijumaa kuanzia 7pm ET

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake