ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 9, 2015

Mh. Dr. Magufuli akimwaga cheche Muhimbili

8 comments:

Anonymous said...

huyu baba nampendaaa tena sana sana kwa kazi anayofanya na moyo wake wa huruma,, I love youuuu rais wangu next movement iwe immigration. .. wala rushwa wakubwa

Anonymous said...

Safi sana ukimaliza hapo Tinga tinga please ingia na ardhi tunasumbuliwa hati zetu na haki zetu hadi tutoe chochote.

Unknown said...

Raisi wa wanyonge, raisi wa wawatanzania , mzalendo halisi, raisi wa watu. Kwa kweli watanzania tunapaswa kumshukuru mungu sana kwa kutujalia kiongozi anauguswa na matatizo yetu.
Love

Anonymous said...

This is what we want. Na aendelee urais miaka 15. Good fellow.

Anonymous said...

Nipo ughaibuni, binafsi my biggest wish for Christmas Mr. President, naomba next uende Min. of Foreign Affairs to clean the house from Top to Bottom, because kuna nepotism/ukabila mkubwa. Wizara doesn't represent the face of the nation. Makabila machache disproportionately wamechukua nafasi nyingi Foreign Affairs, it is unacceptable. Also, your excellence tafadhali chagua Mabalozi ili watoke kila kona ya Tanzania, instead of the current trend. To my knowledge kuna watu wengi kutoka kila mkoa ambao wanadiplomatic skills who are left out of the system. You can take corrective measures, Mheshimiwa Rais.

Anonymous said...

Wanaosafiri ni kina nani tena ?

Anonymous said...

Hivi huyu rais aliyepita hakuyajua haya aibu ndio hao wasafiri wanaozungumzwa

Anonymous said...

MRI zote za private hospital zinafanya kazi, but Muhimbili ambayo ndiyo hospital kuu Tz MRI zake zote zimekufa. Mgonjwa analazwa for 2 months no matibabu kwani Hana pesa hivyo asubiri kufa tu je hii ni aibu gani, rushwa ukitaka kujifungua, rushwa ukitaka kufanyiwa surgery. ...du Rais bado ingia wodi ya kina mama ujionee zaidi aibu ya huko na rais aliyepita na kabineti yake yote walifumbia macho hayo na kukimbilia zao ulaya kutibiwa mpaka kaswande, appendex, macho, meno etc bado laboratory zetu nyingi hazifanyi kazi ...chonde Cho de rais Magufuli kazi tu ndiyo Kilichobakia. Wakamate wote wanaoirudisha Tz nyuma.