Thursday, November 12, 2015

mr john pombe akizungumza kingereza bomba..hongera

8 comments:

  1. Hapa mzee wa tinga tinga katumaliza kabisa. Kuna mtu alipendekeza raisi wetu atakapokuja umoja wa mataifa awe anazungumza kiswahili watu hasa wanaoshabikia upizani wakacheka sana ati ni janja ya CCM kupendekeza hivyo baada ya kuona magufuli hataweza kuzungumza kiengereza. Kwa kweli magufuli ni gifted sana kiasi cha kushangaza. Umewasuta wengi sana baba. Hongera tinga tinga hakikaTanzania tumepata kiongozi mungu atuwekee. Amin

    ReplyDelete
  2. Eti hiyo ndio kiingereza bomba? Lol!

    ReplyDelete
  3. Huku ni kumdhalilisha raisi.by the way hata kama angekuwa hana uwezo wa kuongea hiyo english kusinge muondolea uwezo wake wa kuongoza taifa.Kuna viongozi wengi duniani hawaongei kiingereza still mambo yako mswano.
    Ref; - Putin ( Russia ),Hollande (France), Bashir ( Sudan), Xi Jin ping (China), nk

    ReplyDelete
  4. what do you think? the guy is educated, even with his very heavy accent i could still understand him.
    #hapakazitu

    ReplyDelete
  5. I bet kuna wanadiaspora wengi tu i mean tuliokuwepo hapa Marekani hawana uwezo wa kuunganisha sentence kikamilifu za kiengereza katika maongezi kama maghufuli.

    ReplyDelete
  6. huyu alisha kuwa prepared na haya maswali kama vile kaya memorize halafu sasa naomba kuuliza mimi ni mswazi ila hio alioongea hapo hivi ni country wise??? or alitakiwa aseme counry-wide hahahaaa

    ReplyDelete
  7. Kuelimika ni kitu kizuri sana.

    ReplyDelete
  8. Duh, kuelimika ndio elimu.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake