Ndani ni mwadilifu,mchapakazi, qualified,alietayari kuutumikia umma,asiye na makandokando, asiye changanya siasa kwenye shughuli za serikali. Nje ni mla rushwa, mbabaishaji, elimu isiyo elezeka, mwenye makundi, anae itumia ofisi ya serikali km kijiwe cha kupigia deal,alie ingizwa kwenye baraza la mawaziri km sehemu ya kulipa fadhila au kutokana tu na jinsia yake .
anonymous 1 una mataitizo ya kufikiria. unaweza kuonyesha mfano kwa hayo maneno unayoyasema juu. Kama huwezi kujieleza vizuri na kutoa ushahidi, basi, usiandike mambo ambayo hayana ukweli.
Ushahidi wa nini unaohitaji anonymous 1 ame outline qualities za mawaziri wanaohitajika,wewe unaulizia ushahidi.acha mazoea ya kuongojea utafutiwe,utafuniwe,.. put your brain to work. .
Ushahidi wa nini unaohitaji anonymous 1 ame outline qualities za mawaziri wanaohitajika,wewe unaulizia ushahidi.acha mazoea ya kuongojea utafutiwe,utafuniwe,.. put your brain to work. .
Unafiki mwengine haufai ingawaje tunajijua watanzania kwa unafiki sawa sawa na samaki na maji lakini wakati mwengine huwa too much, hivyo magufuli awaache mawaziri wa kikwete kwa kuhofia ufisadi wakati mtu huyo huyo anaesema hivyo mpaka hii leo tangu kumalizika kwa uchaguzi kanuna kisa anataka Lowasa na Sumaye waingie madarakani?
Ndani ni mwadilifu,mchapakazi, qualified,alietayari kuutumikia umma,asiye na makandokando, asiye changanya siasa kwenye shughuli za serikali.
ReplyDeleteNje ni mla rushwa, mbabaishaji, elimu isiyo elezeka, mwenye makundi, anae itumia ofisi ya serikali km kijiwe cha kupigia deal,alie ingizwa kwenye baraza la mawaziri km sehemu ya kulipa fadhila au kutokana tu na jinsia yake .
Hapo akiwatema jamaa wote wa Kikwete then huyu jamaa atakuwa freshi. Kama akiwaachia humo then ccm itakuwa ni ile ile ya ufisadi na kulindana.
ReplyDeleteHapo akiwatema jamaa wote wa Kikwete then huyu jamaa atakuwa freshi. Kama akiwaachia humo then ccm itakuwa ni ile ile ya ufisadi na kulindana.
ReplyDeleteanonymous 1 una mataitizo ya kufikiria. unaweza kuonyesha mfano kwa hayo maneno unayoyasema juu. Kama huwezi kujieleza vizuri na kutoa ushahidi, basi, usiandike mambo ambayo hayana ukweli.
ReplyDeleteUshahidi wa nini unaohitaji anonymous 1 ame outline qualities za mawaziri wanaohitajika,wewe unaulizia ushahidi.acha mazoea ya kuongojea utafutiwe,utafuniwe,..
Deleteput your brain to work. .
Ushahidi wa nini unaohitaji anonymous 1 ame outline qualities za mawaziri wanaohitajika,wewe unaulizia ushahidi.acha mazoea ya kuongojea utafutiwe,utafuniwe,..

ReplyDelete