Mzee John Wandi enzi ya uhai wake
Heriet Tarazo anasikitika kutangaza kifo cha baba mkwe wake Mzee John Wandi (baba ya mume wake).kilichotekea Leo asubuhi Dar es Salaam Kijitomyama Tanzania
Kama ilivyo ada na desturi yetu kupeana pole ni jambo na mila yetu upatapo nafasi unaweza kupita nyumbani kwa wafiwa Beltsville, Maryland na kuwapa mkono wa pole.
Hapa DMV msiba upo
11360 cherry hill Rd # 202
Beltsville MD 20705,
au kwa maelezo na maelekezo zaidi unaweza piga simu 301 395 5123,
240 355 5158-Heriet
301 367 8722- Lydia
240 355 5158-Heriet
301 367 8722- Lydia
Sisi ni waja wake, kwake tutarejea na jina lake lihimidiwe.

No comments:
Post a Comment