Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Amosi Makala akiwa katika ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi,kuzingumza na watendaji wa Afya na Mazingira. |
Baadhi ya watendaji. |
Mkuu wa wilaya ya Moshi ,Novatus Makunga akiwa na mmoja wa maofisa wakifuatilia maelelzo yaliyokuwa yakitolewa ofisini hapo. |
Baada ya agizo hilo mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga alifanya ziara katika dampo lilopo Kaloleni kujinea tatizo lililosabaisha magari ya kubeba taka kushindwa kuendelea na zoezi hilo. |
Katapila likijaribu kusawazisha takataka katika eneo hilo la dampo ili kurahisisha utupwaji wa taka katika eneo hilo. |
Wakati zoezi la kurekebisha barabara katika eneo la dampo likiendelea,mmoja wa wananchi kkatika eneo hilo alikuwa na shughuli ya kujiokotea vitu ambayo anadhani vitamsadia katika kujipatia kipato. |
Mifugo aina ya Mbuzi pia wamekuwa wakifanya eneo hilo la dampo kama sehemu ya kujipatia chakula. |
Wafanyakazi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi wakizoea taka zilizokuwa zimerundikana katika eneo la jirani kabisa na soko la Manyema mjni hapa. |
Shughuli ya uzoaji taka ikiendelea. |
Hivi ndiyo hali iliyokuwa katika soko la MANYEMA. |
DC Makunga akijionea hali halisi. |
Moja ya dampo likiwa limejaa taka. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
No comments:
Post a Comment