Wednesday, January 6, 2016

CHAI NA KAHAWA ZINAPATIKANA DMV

Chai na Kahawa za Tanzania zinapatikana katika Duka la Tabeer, lililoko:
 1401 University Blvd East
Hyattsville, MD 20783


Burudika na Ladha ya Nyumbani Kwenye Kinywaji Chako Cha Chai na Kahawa

Kwa Maelezo zaidi wasiliana kupitia : 240-813-5563

5 comments:

  1. TULIKWENDA TABEER LAKINI HATUKUFANIKIWA KUPATA CHAI. KULIKUWA NA SAMPLES, NADHANI SITA (6) AMBAZO HAZIKUWA NA BEI (UNLABELLED). TAFADHALI NDUGU MUUZAJI TUWEKEE HIZO PRODUCTS ILI TUZINUNUE.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ulipiga namba ya simu hapo kwenye tangazo na ukaambiwa nini?Kama kweli una nia ya kununua hiyo chai tafadhali wasiliana na mhusika.

      Delete
  2. MDAU WA KWANZA, PIGA SIMU HIYO NA UTAPATA HUDUMA. Mengine ni yanawahusu wawili hao SUPPLIER AND SALER.

    ReplyDelete
  3. I like this customer services, good job

    ReplyDelete
  4. Wabongo TUBADILIKE let support each other and have positive mind! At least now i know where to get my chai masala.... KUDOS suppliers. FUNGENI MASIKIO songeni mbele. You can't please everybody... mdau kaja mpaka na stock ya box za chai DUUUUUUHH! Was it necessary???

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake