Mwimbaji wa nyimbo za injili Upendo Kilahiro siku ya jumapili tarehe 10/1/2016 atakuwa katika kanisa la The Way of the Cross Gospel Ministries ambalo liko address 405 Riggs Rd NE, Washington, DC 20011 kwa ajili ya huduma ya injili kwa njia ya nyimbo. Mwimbaji huyo Mashuhuri wa nyimbo za injili kutoka Tanzania atakuwa hapo kanisani kwa mwaliko wa kanisa hilo. Vote mnakaribiswa.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake