ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, December 22, 2015

KAZI YA UKOCHA BONGO NI MATESO

Huyu ni kocha wa timu kubwa bongo yani hapa anakilinda kibarua chake na si vinginevyo. 

1 comment:

Anonymous said...

Sasa kusema mateso inamaana gani au kwakuwa mzungu? Maana si fikirii kama mkwasa au matola au mzawa mwengine yeyote angewajibika kama anavyowajibika huyu kocha wa kigeni watu wangesema ni mateso. Huyu mzungu sifikirii kama amewahi kuisikia na kuifahamu kauli ya Magufuli ya hapa kazi tu, lakini ninauhakika hafanyi hivyo kwa kulinda kibarua chake isipokuwa anafanya hivi kwa kuwa tabia ya kufanya kwa kujituma imo ndani ya damu yake. Kwa sisi watanzania twenye tabia ya uvivu na ubabaishaji tunavyiona vitu vigeni anavyovifanya huyu kocha lakini kiukweli hata ukimpeleka Real Madrid basi utamkuta anafanya hivyo hivyo. Hebu kweli sisi watanzania tujiulize tupo katika karne ya 21 bado tunasumbuliwa na kipindupindu kama si uzembe,uvivu,ujinga kitu gani? Kipindupindu kinasababishwa na uchafu ambao umekisiri hadi kuingilia mifumo ya chakula. Sina twakimu tosha lakini watu wengi sana duniani utawapa wakati mgumu sana kuwafahamisha nini kipindupindu. Sasa leo akili zetu zilivyokuwa zimeoza zilizoambatana na ulimbukeni tunashangaa mzungu kufanya kazi. Kwa kweli Magufuli kwa watanzania kazi anayo sana.