Tuesday, December 8, 2015

Mambo matatu ya kufahamu kuhusu utanuzi wa barabara Mwenge hadi Morocco.



Kesho ndiyo siku Uhuru wa Tanzania pesa ambazo zilitakiwa kunogesha siku hiyo kwa sherehe na shangwe zilizimwa na Mh. Rais na pesa ambazo kutaka zitumike kwa kazi hii inayoendelea kwa sasa. Unalolote na kusema juu ya hili la Mh. Rais?

1 comment:

Anonymous said...

Hapa kazi tu, ukiangalia kwenye hii picha utakubaliana na mimi ya kwamba mazigira ya ile barabara ni mabovu kabisa ukilinganisha na majengo mazuri unayoyaona pembeni ya hiyo bara bara naweza kusema magufuli anajicho la mwewe katika kuona kitu gani cha msingi kifanyike kwa manufaa ya Taifa.