Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam,Said
Meck Sadick akipanda kwenye mtambo maalum wa kuchimbia mitalo (Scaveter), wakati wa uzinduzi uliofanyika leo jijini Dar,Mtambo huo umenunuliwa na Manispaa ya Kinondoni kwa thamani zaidi ya Sh. Milioni 600.
Mkurugenzi wa Manispaa ya
Kinondoni ,Mussa Natty akimshukuru Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Said Meck
Sadick baada ya kuzindua scaveter iliyonunuliwa na Manispaa hiyo leo katika viwanja vya Manispaa , jijini Dar es
Salaam.picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya Jamii
1 comment:
SCAVETA MILLION 600 WIZI MTUPU,WALIOHUSIKA WOTE NA WIZI HUU WAKAMATWE.BEI HALALI YA SCAVETA MPYA AINA YA CATERPILLAH NI SHILING MILLION 350.WAMEIBA MILLION 250 MHE.MAKONDA UPO HAPO?HUU WIZI UPO MIGUUNI KWAKO.
Post a Comment